Posted on: July 26th, 2019
Halmashauri ya Jiji la Mwanza, leo Julai 25 imetiliana saini ya ujenzi wa soko la kisasa na Stendi ya kisasa na mkandarasa wa kampuni ya ujenzi ya Mohammed Buildings ambayo ni...
Posted on: July 19th, 2019
Mhe Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Dkt Phillis Nyimbi amekabidhi Vifaa vya Shule kwa wanafunzi walioathirika na Janga la moto lilotokea Usiku wa Jumatano katika Shule ya Sekondari Mkolani.
Akikabidhi ...
Posted on: July 4th, 2019
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mwanza limepongeza juhudi mbalimbali zinazofanywa na Uongozi wa hifadhi ya Kisiwa cha Saa Nane ikiwemo kuboresha miundo mbinu na tafiti zitakazowezesha kuo...