Posted on: February 20th, 2025
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imezindua ugawaji wa mikopo ya asilimia kumi kwa makundi maalumu yakiwemo ya wanawake,vijana na walemavu ambapo takribani Bilioni 1.3 imetolewa kwa vikundi vyenye sifa.
...
Posted on: February 14th, 2025
Ikiwa ni maandalizi ya Mikutano Mkuu wa (ALAT) Taifa Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Taifa Mhe. Murshid Ngeze amewaongoza wajumbe wa Kamati hiyo katika ziara...
Posted on: February 14th, 2025
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe, Amina Makilagi akiwa ameambatana na Wajumbe wa Kamati ya Usalama na Wakuu wa Idara kukagua miradi mbalimbali ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Barabara ya Buhongwa -Ig...