Posted on: January 30th, 2025
Wanufaika wa mikopo itokanayo na asilimia kumi ya mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza wamepatiwa mafunzo ya namna ya kufanya biashara zao ili mikopo waliyopatiwa iwe na tija na kuwainua kiuchumi.
...
Posted on: January 31st, 2025
Kamati ya ushauri ya Wilaya ya Nyamagana DCC, imejadili na kupitisha mapendekezo ya rasimu ya mpango wa bajeti yenye jumla ya kiasi cha Shilingi 124,378,085,328,00 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
A...
Posted on: January 16th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Amina Nassor Makilagi amefanya ziara Januari 16,2024 katika shule za Msingi, kukagua hali ya uandikishaji watoto wa awali na msingi na kufanya tathimi...