Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji inashughulikia upangaji na uratibu wa mipango ya maendeleo katika miaka husika, usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ya Halmashauri, Tafiti na ukusanyaji wa Takwimu pamoja na kuratibu shughuli za Uwekezaji. Idara hii inaongozwa na Mchumi wa Manispaa na imegawanyika katika sehemu tano kama ifuatavyo:-
Sehemu ya Mipango na Sera.
Majukumu ya sehemu hii ni kama ifuatavyo:-
Sehemu ya Usimamizi, Ufuatiliaji na Tathmini ya miradi ya
maendeleo.
Majukumu ya sehemu hii yapo kama ifuatavyo:-
Sehemu ya Uwekezaji.
Sehemu hii hushughulikia mipango ya uwekezaji katika Halmashauri ya Manispaa kwa kufanya yafuatayo:-
1. Kuratibu na kusimamia maandalizi ya mipango ya uwekezaji ya Halmashauri.
2. Kuratibu utekelezaji na uandaaji wa taarifa za mipango ya uwekezaji
3. Kuratibu utekelezaji wa miradi ya DMDP
Sehemu ya Utafiti na Takwimu.
Sehemu hii hushughulikia masuala yanayohusu takwimu mbalimbali za kiuchumi na kijamii pamoja na kuratibu shughuli za utafiti kama ifuatavyo:-
Sehemu ya TASAF
Utekelezaji wa shughuli za awamu ya tatu ya TASAF Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF III PSSN) katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.