• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

KATIBU TAWALA NYAMAGANA AWAHIMIZA WADAU WA BIASHARA KUSHIRIKIANA KUKUZA UCHUMI

Posted on: February 11th, 2026

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyamagana, Thomas Salala, amewataka wadau wa biashara pamoja na taasisi mbalimbali za serikali kuendelea kushirikiana ili kukuza uchumi wa eneo hilo na wa Mwanza kwa ujumla.

Akizungumza leo katika kikao cha Baraza la Biashara Ngazi ya Wilaya ya Nyamagana kilichofanyika katika Ukumbi Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Katibu Tawala huyo aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, alisema ushirikiano kati ya sekta binafsi na taasisi za serikali ni msingi muhimu wa maendeleo ya uchumi wa halmashauri.

Alisisitiza kuwa uchumi ni mhimili mkuu wa maendeleo, hivyo wadau wanapaswa kuendelea kushirikiana ili kuhakikisha ukuaji wa uchumi unaendelea kuimarika siku hadi siku.

Kikao cha Baraza la Biashara ngazi ya wilaya hufanyika kila mwaka kwa lengo la kupitia ajenda mbalimbali za maendeleo ya kiuchumi ikiwemo taarifa ya usafirishaji wa mizigo na fursa zitokanazo na uwepo wa Bandari Kavu katika mradi wa SGR Misungwi, utoaji wa elimu ya Bima kwa Wote, utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu pamoja na uwepo wa fursa mbalimbali za uwekezaji ndani ya jiji.

Aidha katika kikao hicho wajumbe walijadili utekelezaji wa ajenda za mwaka 2022/2023 zikiwemo jitihada za utoaji wa elimu ya ushuru wa huduma kwa wafanyabiashara inayofanywa na Maafisa Biashara wa halmashauri kwa kushirikiana na TRA ambapo elimu hiyo inaendelea kutolewa katika maeneo mbalimbali ya biashara ikiwemo Soko Kuu kwa lengo la kuongeza uelewa na ufuasi wa sheria za kodi kwa wafanyabiashara.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA UCHAGUZI October 19, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA SEMINA JIMBO LA NYAMAGANA October 21, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 29, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 09, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC MTANDA AFANYA ZIARA YA MIRADI MWANZA, ASISITIZA KASI NA UWAZI WA UTEKELEZAJI

    February 12, 2026
  • MKUU WA MKOA AIPONGEZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KWA MKAKATI WA KUTOKOMEZA UHABA WA MADAWATI

    February 12, 2026
  • RC MTANDA ASISITIZA UKAMILISHAJI WA SHULE YA AMALI KISHIRI NDANI YA WIKI TATU

    February 12, 2026
  • KATIBU TAWALA NYAMAGANA AWAHIMIZA WADAU WA BIASHARA KUSHIRIKIANA KUKUZA UCHUMI

    February 11, 2026
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.