TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILIYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016
Halmashauri ya Jiji kwa mwaka wa fedha 2015/2016 imepokea jumla ya Tshs. 42,087,758 kwa ajili ya kutekeleza miradi katika mfuko wa kuchochea maendeleo wa Jimbo la Nyamagana. Kwa kuzingatia miongozo mbalimbali ya utekelezaji miradi ya maendeleo ya ukamilishaji wa miradi viporo, miradi ifuatayo iilitekelezwa kwa mwaka huu wa fedha:
NA. |
JINA LA MRADI |
GHARAMA YA MRADI |
KIASI KILICHOTENGWA |
% YA UTEKELEZAJI |
MAONI |
1.
|
Ukamilishaji nyumba ya Mwalimu shule ya msingi Mhandu Kata ya Mhandu
|
10,000,000 |
10,000,000 |
100 |
Mradi umekamilika na unatumika
|
2.
|
Ukamilishaji wa madarasa 2 shule ya msingi Luchelele Kata ya Luchelele
|
10,401,750 |
10,401,750 |
100 |
Mradi umekamilika na unatumika
|
3.
|
Ukamilishaji wa Zahanati ya Isebanda Kata ya Lwanhima kuwa Kituo cha Afya kwa awamu ya kwanza
|
60,590,625 |
21,684,008 |
100 |
Kwa awamu ya kwanza mradi umekamilika kwa kazi zilizopangwa kufanyika. Pia mradi huu ulitengewa kiasi cha Tshs. 35,000,000 katika fedha za bajeti ya maendeleo mwaka wa fedha 2016/17
|
MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 .
NA |
JINA LA MRADI |
KATA |
GHARAMA |
1
|
UJENZI WA UZIO SHULE YA MSINGI MKUYUNI “A” na “C”
|
MKUYUNI |
12,641,600 |
2
|
UKAMILISHAJI WA UJENZI WA MADARASA MAWILI NA OFISI YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI SHAMALIWA
|
IGOMA |
5,788,100 |
3
|
UKAMILISHAJI WA DARASA MOJA (1) SHULE YA MSINGI NYASHANA.
|
MBUGANI |
4,910,484 |
4
|
UKAMILISHAJI WA UJENZI WA UZIO SHULE YA MSINGI NYEGEZI NA NYABULOGOYA AWAMU YA PILI.
|
NYEGEZI |
7,871,000 |
5
|
UKARABATI WA OFISI YA WALIMU SHULE YA MSINGI MHANDU “D”
|
MHANDU |
1,000,000 |
6
|
KUFUNGUA BARABARA YA IKIZU INAYOUNGANISHA MTAA WA NYERERE “B” NA MTAA WA BUGARIKA
|
MABATINI |
1,200,000 |
7
|
UKAMILISHAJI WA UJENZI WA UZIO SHULE YA MSINGI NYEGEZI NA NYABULOGOYA AWAMU YA PILI.
|
NYEGEZI |
4,100,000 |
8
|
UKARABATI WA MADARASA SITA NA OFISI MBILI ZA WALIMU SHULE YA MSINGI IGOMA ‘C’ MTAKUJA
|
IGOMA |
6,312,000 |
9
|
UKAMILISHAJI WA KITUO CHA POLISI KISHILI
|
KISHILI |
5,756,400 |
10
|
UKARABATI WA MADARASA NA KORIDO SHULE YA MSINGI MTAKUJA(IGOMA C)
|
IGOMA
|
4,134,000 |
11
|
UWEKAJI WA GETI KATIKA UZIO WA SHULE YA MSINGI MKUYUNI C
|
MKUYUNI
|
850,000 |
12
|
KUCHANGIA MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA POLISI NYEGEZI
|
NYEGEZI
|
3,230,788 |
13
|
KUKAMILISHA UJENZI MNARA WA TANKI LA MAJI KATIKA ZAHANATI YA HUDUMA MASHULENI.
|
NYAMAGANA |
2,225,950 |
14
|
MRADI WA UNUNUZI WA VITANDA VYA JUU NA CHINI(DOUBLE DEKA) KATIKA SEKONDARI YA BUHONGWA
|
BUHONGWA |
5,000,000 |
15
|
MRADI WA UFUNGAJI MFUMO WA UMEME WA JUA ZAHANATI YA FUMAGILA
|
KISHILI |
1,500,000 |
ORODHA YA MIRADI ITAKAYOTEKELEZA NA FEDHA ZA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO LA NYAMAGANA KWA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 YA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA.
NA |
JINA LA MRADI |
KATA |
GHARAMA |
1
|
UKAMILISHAJI WA MADARASA MAWILI SHULE YA SEKONDARI MKOLANI
|
MKOLANI |
5,000,000/= |
2
|
UMALIZIAJI WA OFISI MBILI ZA WALIMU MTONI SEKONDARI
|
MABATINI |
4,000,000/= |
3
|
UMALIZIAJI WA MADARASA MAWILI SHULE YA MSINGI BULALE
|
BUHONGWA |
7,000,000/= |
4
|
UMALIZIAJI WA VYOO SHULE YA MSINGI NYAKABUNGO “A”
|
ISAMILO |
2,900,000/= |
5
|
UKAMILISHAJI WA UJENZI WA MADARASA MAWILI SHULE YA SEKONDARI MHANDU
|
MHANDU |
7,336,000/= |
6
|
UKAMILISHAJI WA MADARASA MAWILI SHULE YA MSINGI BUGAKA
|
KISHILI |
10,000,000/= |
7
|
UKAMILISHAJI WA DARASA SHULE YA SEKONDARI NYASHANA
|
MBUGANI |
3,000,000/= |
8
|
UMALIZIAJI WA NYUMBA MOJA YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MAHINA
|
MAHINA |
10,000,000/= |
9
|
UKAMILISHAJI WA DARASA SHULE YA MSINGI AMANI
|
BUTIMBA |
3,500,000/= |
10
|
UKAMILISHAJI WA UJENZI WA CHOO CHA MATUNDU MATANO
|
PAMBA |
6,500,000/= |
|
JUMLA KUU TSHS.
|
|
59,236,000/= |
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.