Utangulizi
Halmashauri ya Jiji la Mwanza ni Halmashauri mojawapo kati ya Halmashauri nne zilizo katika mchakato wa kutekeleza miradi mikubwa ya kiuwekezaji kwa kushirikiana na Mfuko wa Mitaji wa Maendeleo wa Mataifa ‘UNCDF’. Halmashauri nyingine ni Halmashauri ya Jiji la Arusha na Tanga, na Manispaa ya Ilemela. Moja ya kigezo kinachotakiwa kutimizwa kwa Halmashauri zilizochaguliwa na UNCDF ni kuhakikisha kila Halmashauri inatengeneza Mpango wa Uwekezaji wa miaka mitano ukionyesha miradi inayopendekezwa kutekelezwa kwa kipindi hicho pamoja na mpango kazi wa utekelezaji wa miradi hiyo.
Hali ya utekelezaji
Halmashauri imefanikiwa kuandaa Mpango wa Uwekezaji wa miaka mitano ukiwa na mapendekezo ya kutekeleza miradi 33 yenye thamani ya Shilingi 571,584,081,922,695.00 kutoka katika Sekta mbalimbali zilizo ndani ya Halmashauri. Kila mradi unaonyesha mapendekezo ya gharama za kutekeleza mradi husika, nachanzo cha fedha cha kutekeleza mradi. Pia, kuna Mpango kazi wa miaka mitano wa kuitekeleza miradi hiyo kuanzia mwaka wa fedha 2018/2019. Miradi iliyopendekezwa inatokana na miradi iliyo kwenye Mpango Kabambe wa Halmashauri ya Jiji, lakini pia mapendekezo ya miradi kutoka Sekta mbalimbali ndani ya Halmashauri ya Jiji.
Mapendekezo ya miradi na mtiririko mzima umeambatanishwa.
Nawasilisha.
KIOMONI KIBURWA KIBAMBA
MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA
1.0 Mapendekezo ya Mpango wa Uwekezaji
NA |
JINA LA MRADI
|
FAIDA ZINAZOTARAJIWA KUPATIKANA |
MAKADIRIO YA GHARAMA |
CHANZO CHA FEDHA
|
|
MAEGESHO
|
|
|
|
1 |
ENEO LA STENDI YA MABASI
|
|
|
|
1.1 |
Upanuzi wa Stendi ya mabasi Nyegezi
|
|
8,875,000,000 |
MWANZA CC & MWEKEZAJI
|
1.2 |
Ujenzi wa Ukumbi wa mikutano na eneo la kuegesha magari eneo la Gandhi
|
|
14,400,000,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
23,275,000,000 |
|
|
|
|
|
|
2 |
ENEO LA KUEGESHA MAGARI YA MIZIGO
|
|
|
|
2.1 |
Ujenzi wa eneo la kuegesha magari makubwa Buhongwa
|
|
65,430,000,000 |
MWANZA CC &MWEKEZAJI
|
2.2 |
Ujenzi wa eneo la kuegesha magari makubwa Igoma
|
|
44,575,000,000 |
MWANZA CC &MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
110,005,000,000 |
|
|
|
|
|
|
3 |
MICHEZO
|
|
|
|
3.1 |
Ukarabati wa Uwanja wa michezo Nyamagana
|
|
5,889,230,695 |
MWANZA CC &MWEKEZAJI
|
3.2 |
Ukarabati wa Viwanja vya michezo katika Jiji la Mwanza(maeneo hayo yatajwe)
|
|
780,000,000 |
MWANZA CC &MWEKEZAJI
|
3.3 |
Ujenzi wa uwanja wa michezo wa ndani katika Jiji la Mwanza eneo la Kishiri
|
|
2,500,000,000 |
MWANZA CC &MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
9,169,230,695 |
|
|
|
|
|
|
4 |
MASOKO
|
|
|
|
4.1 |
Ujenzi wa Soko la wafanyabiashara Buhongwa
|
|
1,500,000,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
4.2 |
Ujenzi wa Soko la wafanyabiashara Igoma
|
|
1,350,000,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
4.3 |
Ujenzi wa soko la mazao ya Kilimo na Samaki eneo la Mkuyuni
|
|
5,340,000,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
4.4 |
Umaliziaji wa Soko la wafanyabiashara Bugarika
|
|
143,000,000 |
MWANZA CC
|
4.5 |
Uboreshaji wa soko la Mjini Kati
|
|
214,368,000,000,000 |
MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
214,376,190,000,000 |
|
|
|
|
|
|
5 |
ENEO LA MAPUMZIKO
|
|
|
|
5.1 |
Eneo kwa ajili ya Kupumzikia, michezo ya watoto na watu wazima, michezo ya kwenye maji (Water Sports), Hoteli na migahawa nk. Eneo la Tampere
|
|
6,100,000,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
6,100,000,000 |
|
|
|
|
|
|
6 |
USIMAMIZI WA MAZINGIRA
|
|
|
|
6.1 |
Material Recover Facility
|
|
33,000,000,000 |
MWANZA CC & MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
33,000,000,000 |
|
|
|
|
|
|
7 |
UFUGAJI NYUKI
|
|
|
|
7.1 |
Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya kusindika mazao ya asali
|
|
1,455,000,000 |
MWANZA CC & MWEKEZAJI
|
7.2 |
Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya kutengeneza vifungashio vya mazao ya Nyuki
|
|
1,200,000,000 |
MWANZA CC & MWEKEZAJI
|
|
Sub - Total
|
|
2,655,000,000 |
|
|
|
|
|
|
8 |
MIPANGO MIJI-NYUMBA NA MAKAZI
|
|
|
|
8.1 |
Ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Isamilo
|
|
2,100,000,000 |
MWANZA CC, NHC & MWEKEZAJI
|
8.2 |
Ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Lwanhima
|
|
3,000,000,000 |
NHC & MWEKEZAJI
|
8.3 |
Mradi wa Upimaji wa Viwanja eneo la Lwanhima
|
|
6,500,000,000 |
MWANZA CC
|
8.4 |
Kuboresha maeneo ambayo hayajapimwa katika Jiji hususan eneo la Igogo (Igogo informal settlement)
|
|
87,952,800,000,000 |
MWEKEZAJI
|
8.5 |
Kupanga upya maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza (Redevelopment of Mwanza City)
|
|
268,999,200,000,000 |
MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
356,963,600,000,000 |
|
|
|
|
|
|
9 |
HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO
|
|
|
|
9.1 |
Uanzishaji wa Televisheni ya Jiji
|
|
2,100,000,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
9.2 |
Ujenzi wa jengo la kutolea taarifa kwa wananchi (Information centre)
|
|
700,000,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
2,800,000,000 |
|
|
|
|
|
|
10 |
KILIMO NA USHIRIKA
|
|
|
|
10.1 |
Ujenzi wa kiwanda cha kusindika zao la nyanya na matikiti maji
|
|
625,000,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
625,000,000 |
|
|
|
|
|
|
11 |
AFYA
|
|
|
|
11.1 |
Ujenzi wa jengo la wagonjwa wa dharura (Emergency department)
|
|
870,000,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
11.2 |
Ujenzi wa jengo kwa ajili wagonjwa wa Private na wale wanaotumia kadi za NHIF
|
|
644,540,000 |
MWANZA CC& MWEKEZAJI
|
|
Jumla ndogo
|
|
1,514,540,000 |
|
|
|
|
|
|
12 |
MISITU
|
|
|
|
12.1 |
Mradi wa kuotesha na kukuza miche ya miti 300,000 kitaluni na kupanda katika shule za Msingi, Sekondari na taasisi za Umma
|
|
72,000,000 |
MWANZA CC
|
12.2 |
Mradi wa uboreshaji wa bonde la Nyegezi
|
|
35,000,000 |
MWANZA CC
|
|
Jumla ndogo
|
|
107,000,000 |
|
|
|
|
|
|
13 |
MIFUGO
|
|
|
|
13.1 |
Ukarabati na Uwekaji wa mashine za kisasa kwenye Machinjio ya Jiji eneo la Nyakato
|
|
2,212,152,000 |
MWANZA CC
|
|
Jumla ndogo
|
|
2,212,152,000 |
|
|
|
|
|
|
14 |
ELIMU
|
|
|
|
14.1 |
Ujenzi wa Mabweni kwa shule za Sekondari za kutwa zilizopo Halmashauri ya Jiji
|
Kuongeza idadi na asilimia ya ufaulu wa wanafunzi wa sekondari
Kupunguza wazazi katika kusomesha watoto Kupunguza tatizo la mimba mashuleni Kupunguza utoro wa wanafunzi |
6,325,000,000.00 |
MWANZA CC , MWEKEZAJI WADAU WA MAENDELEO
|
14.2 |
Ujenzi wa madarasa ya shule za Msingi
|
Kuongeza idadi na asilimia ya ufaulu wa wanafunzi wa sekondari
Kuweka mazingira mazuri ya elimu kwa watoto Kupunguza utoro wa wanafunzi |
30,150,000,000.00 |
MWANZA CC, WAWEKEZAJI NA WADAU WA MAENDELEO
|
14.3 |
Ujenzi wa matundu ya vyoo kwa shule za Msingi
|
Kuongeza idadi na asilimia ya ufaulu wa wanafunzi wa sekondari
Kuweka mazingira mazuri ya elimu kwa watoto Kupunguza utoro wa wanafunzi |
14,140,059,000.00 |
MWANZA CC, WAWEKEZAJI NA WADAU WA MAENDELEO
|
14.4 |
Ujenzi wa madarasa kwa shule za Sekondari
|
Kuongeza idadi na asilimia ya ufaulu wa wanafunzi wa sekondari
Kuweka mazingira mazuri ya elimu kwa watoto Kupunguza utoro wa wanafunzi |
14,243,000,000 |
MWANZA CC, WAWEKEZAJI NA WADAU WA MAENDELEO
|
|
Jumla ndogo
|
|
64,858,059,000 |
|
|
|
|
|
|
|
JUMLA KUU
|
|
571,584,081,922,695 |
|
2.0 Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mpango wa Uwekezaji
No |
Project name |
YR 1 |
YR 2 |
YR 3 |
YR 4 |
YR 5 |
Total Cost |
2018-2019 |
2019-2020 |
2020-2021 |
2021-2022 |
2022-2023 |
|||
1 |
Upanuzi wa Stendi ya mabasi Nyegezi
|
|
5,000,000,000
|
3,875,000,000 |
|
|
8,875,000,000 |
2 |
Ujenzi wa ukumbi wa mikutano na eneo la kuegesha magari Gandhi hall
|
|
|
6,000,000,000 |
4,000,000,000 |
4,400,000,000 |
14,400,000,000 |
3 |
Ujenzi wa eneo la kuegesha magari makubwa Buhongwa
|
|
|
25,000,000,000
|
20,000,000,000
|
20,430,000,000 |
65,430,000,000 |
4 |
Ujenzi wa eneo la kuegesha magari makubwa Igoma
|
|
|
|
35,000,000,000 |
9,575,000,000 |
44,575,000,000 |
5 |
Ukarabati wa Uwanja wa Nyamagana
|
3,889,230,695 |
2,000,000,000 |
|
|
|
5,889,230,695 |
6 |
Ukarabati wa Viwanja vya michezo katika jiji la Mwanza
|
400,000,000 |
180,000,000 |
|
|
|
580,000,000 |
7 |
Ujenzi wa uwanja wa michezo wa ndani katika Jiji la mwanza
|
|
|
2,500,000,000 |
|
|
2,500,000,000 |
8 |
Ujenzi wa Soko la wafanyabiashara Buhongwa
|
1,500,000,000
|
|
|
|
|
1,500,000,000 |
9 |
Ujenzi wa Soko la wafanyabiashara la Igoma
|
1,350,000,000
|
|
|
|
|
1,350,000,000 |
10 |
Ujenzi wa soko la mazao ya Kilimo na Samaki eneo la Mkuyuni
|
|
|
5,340,000,000 |
|
|
5,340,000,000 |
11 |
Umaliziaji wa Soko la wafanyabiashara Bugarika
|
90,000,000 |
53,000,000 |
|
|
|
143,000,000 |
12 |
Uboreshaji wa soko la Mjini Kati
|
|
|
100,000,000,000,000 |
100,000,000,000,000 |
14,368,000,000,000 |
214,368,000,000,000
|
13 |
Eneo kwa ajili ya Kupumzikia, michezo ya watoto na watu wazima, michezo ya kwenye maji (Water Sports), Hoteli na migahawa nk. Eneo la Tampere
|
|
|
6,100,000,000 |
|
|
6,100,000,000 |
14 |
Material Recover Facility
|
|
15,000,000,000 |
10,000,000,000 |
8,000,000,000 |
|
33,000,000,000 |
15 |
Mradi wa Upimaji wa Viwanja eneo la Lwanhima
|
6,500,000,000 |
|
|
|
|
6,500,000,000 |
16 |
Kuboresha maeneo ambayo hayajapimwa katika Jiji hususan eneo la Igogo (Igogo informal settlement)
|
|
|
|
50,000,000,000,000 |
37,952,800,000,000 |
87,952,800,000,000
|
17 |
Kupanga upya maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza (Redevelopment of Mwanza City)
|
|
|
|
|
268,999,200,000,000
|
268,999,200,000,000
|
18 |
Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya Mazao ya asali
|
|
1,455,000,000 |
|
|
|
1,455,000,000 |
19 |
Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya kupaki bidhaa za mazao ya Nyuki
|
|
|
1,200,000,000 |
|
|
1,200,000,000 |
20 |
Ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Isamilo
|
|
|
1,500,000,000 |
600,000,000 |
|
2,100,000,000 |
21 |
Ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Isamilo Lwanhima
|
|
2,000,000,000 |
1,000,000,000 |
|
|
3,000,000,000 |
22 |
Uanzishaji wa Televisheni ya Jiji la Mwanza
|
|
1,100,000,000 |
1,000,000,000 |
|
|
2,100,000,000 |
23 |
Ujenzi wa jengo la kutolea taarifa kwa wananchi (Information centre)
|
|
|
700,000,000 |
|
|
700,000,000 |
24 |
Ujenzi wa kiwanda kwa ajili ya mazao ya nyanya
|
|
625,000,000 |
|
|
|
625,000,000 |
25 |
Ujenzi wa jengo la wagonjwa wa dharura ( Emergency department)
|
|
500,000,000 |
370,000,000 |
|
|
870,000,000 |
26 |
Ujenzi wa jengo kwa ajili wagonjwa wa Private na wale wanaotumia kadi za NHIF
|
|
644,540,000 |
|
|
|
644,540,000 |
27 |
Mradi wa kuotesha na kukuza miche ya miti 300,000 kitaluni na kupanda katika shule za Msingi, Sekondari na taasisi za Umma
|
50,000,000 |
50,000,000 |
|
|
|
100,000,000 |
28 |
Mradi wa uboreshaji wa bonde la Nyegezi
|
35,000,000 |
|
|
|
|
35,000,000 |
29 |
Ukarabati na Uwekaji wa mashine za kisasa kwenye Machinjio ya Jiji eneo la Nyakato
|
2,212,152,000 |
|
|
|
|
2,212,152,000 |
30 |
Ujenzi wa Mabweni kwa shule za Sekondari za kutwa zilizopo Halmashauri ya Jiji
|
|
2,575,000,000
|
1,250,000,000
|
1,250,000,000
|
1,250,000,000
|
6,325,000,000
|
31 |
Ujenzi wa madarasa ya shule za Msingi
|
1,000,000,000 |
4,000,000,000 |
5,000,000,000 |
5,100,000,000 |
5,050,000,000 |
20,150,000,000
|
32 |
Ujenzi wa matundu ya vyoo kwa shule za Msingi
|
1,000,000,000 |
2,140,000,000 |
2,000,000,000
|
2,000,000,000
|
2,000,000,000
|
9,140,000,000
|
33 |
Ujenzi wa madarasa kwa shule za Sekondari
|
|
|
5,243,000,000
|
5,000,000,000
|
7,000,000,000
|
17,243,000,000 |
|
JUMLA KUU |
18,026,382,695 |
37,322,540,000 |
100,078,078,000,000 |
150,080,950,000,000 |
321,369,705,000,000 |
571,584,081,922,695
|
571,584,081,922,695
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.