Posted on: December 18th, 2024
Wenyeviti wa Mitaa takribani 175 kutoka Kata 18 za Halmashauri ya Jiji la Mwanza wamepatiwa mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao wanapowatumikia Wananchi.
Akifun...
Posted on: December 14th, 2024
Ikiwa ni mwendelezo wa kuifanya Nyamagana kuwa ya kijani, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe Amina Makilagi leo tarehe 14/12/2024 amewaongoza wananchi wa Kata ya Buhongwa Katika zoezi la upandaji miti pe...
Posted on: December 6th, 2024
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa wamepata mafunzo juu ya namna bora ya ukusanyaji wa mapato na ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba.
Mafunzo hayo yametolewa na wataalamu wa Ha...