Posted on: October 15th, 2025
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imepata fursa ya vijana wake 75 kunufaika na Programu ya Uwezeshaji Vijana (Work Readiness Program – WRP), inayolenga kuwaandaa kwa ajira na ujasiriamali katika sekta...
Posted on: August 25th, 2025
Mwenge wa Uhuru 2025 ukiwa katika mbio zake za kitaifa katika Wilaya ya Nyamagana umeendelea kusisitiza ujumbe wa mshikamano, upendo, na mapambano dhidi ya changamoto zinazokwamisha maendeleo ya taifa...
Posted on: August 25th, 2025
Mwenge wa Uhuru 2025 umefika katika Wilaya ya Nyamagana Jumatatu, Agosti 25, 2025, ukitokea wilayani Ukerewe. Mapokezi yake yamefanyika katika Uwanja wa Nyamagana.
Akipokea Mwenge huo, Mkuu wa Wila...