• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Viongozi wa wilaya na Halmashauri wapongezwa Kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo

Posted on: August 11th, 2022

Mwenyekiti wa CCM  wilaya ya Nyamagana  ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya Siasa ya Wilaya ndugu Zebedayo Athumani, Leo tarehe 11/8/2022 ameongoza ziara hiyo akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya  Nyamagana, Mhe. Amina Makilagi , Mbunge wa Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula,  Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, wajumbe wa kamati ya Siasa ya Wilaya na Wataalamu mbalimbali  wa  wilaya ya Nyamagana.


Katika ziara hii miradi mbalimbali imekaguliwa ikiwemo  ujenzi wa vyumba vya madarasa 14 na ofisi  3 katika shule ya Msingi Bulale, Ujenzi wa jengo la OPD zahanati ya Shadi kata ya Luchelele , mradi wa ujenzi wa Barabara SAUT - Luchelele na Shadi ya urefu wa kilometa 1.300  na  mita 200 huko Luchelele Shadi na  ujenzi wa jengo la OPD na Mashimo ya maji taka katika hospitali ya Wilaya ya Nyamagana.


Akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Wilaya , Wataalamu na Viongozi wa eneo la Bulale ,     Mhe. Mwenyekiti amempongeza Mkuu wa Wilaya Mhe. Amina Makilagi Kwa kuja na wazo zuri la kupambana na changamoto ya upungufu wa madarasa na kuweka mazingira rafiki ya ufundishaji na ujifunzaji shuleni Kwa maendeleo na ufaulu Bora.


Katika kufafanua wazo hilo, Mheshimiwa Amina Makilagi ameeleza kuwa baada ya wazo            hilo lililoambatana na kauli mbiu "Uzalendo Kwanza, kazi iendelee Wilaya ya Nyamagana" aliwashirikisha Wadau mbalimbali wa Elimu na hivyo kupata mwitikio mkubwa  na wadau mbalimbali wameshiriki Kwa Mali na nguvu pia.


Aidha, Mheshimiwa Stanslaus Mabula Mbunge wa Nyamagana amewashukuru na kuwapongeza Viongozi wote Kwa ushirikiano na kwamba Kwa kufanya hivyo tunaweza kufika mbali pia ameshauri uongozi wa Chama cha Mapinduzi kushiriki kuongeza hamasa zaidi katika zoezi hili.


Sanjali na hayo, Mhe. Mwenyekiti wa kamati ya Siasa ya Wilaya ya Nyamagana amewapongeza Wataalamu  Kwa kufikia hatua nzuri katika ujenzi wa zahanati, Barabara na hospitari ya Wilaya ya Nyamagana. Kwamba ukamilifu huo utasaidia watu wengi kupata huduma na katika mazingira mazuri.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA RATIBA YA KUINGIA KWA WAPANGAJI WA MAENEO MBALIMBALI YA SOKO KUU. June 29, 2025
  • TANGAZO LA MAPENDEKEZO YA SHERIA NDOGO ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA July 10, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA (MCHUJO) KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - MWANZA JIJI April 29, 2023
  • KUITWA KAZINI NAFASI YA MEO III, MWANDISHI MWENDESHA OFISI II, RMA II na DEREVA II January 08, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KWA KUSHIRIKIANA NA RAILWAY CHILDREN AFRICA YAPANGA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA WATOTO WA MTAANI

    June 26, 2025
  • HANANG' WAJIFUNZA MBINU ZA KUONGEZA MAPATO KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KUPITIA STENDI KUU YA MABASI NYEGEZI

    June 10, 2025
  • DC AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA MIRADI

    June 02, 2025
  • MHE. MAKILAGI AONGOZA ZOEZI LA USAFI BUHONGWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI YA MAZINGIRA

    May 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.