• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA SOKO LA SAMAKI MKUYUNI

Posted on: October 17th, 2024

Baadhi wa wananchi wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana pamoja na kikundi cha Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA)wameshiriki vyema katika hafla ya Utiaji Saini Mkataba ya  Ujenzi wa soko la Samaki Mkuyuni Leo hii 16/10/2024 Katika Viwanja vya Furahisha.

Hafla hii iliyohudhuriwa na Mheshimiwa MOHAMMED OMARY MCHENGERWA Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) akiwa ndiye Mgeni Rasmi wa tukio hili.

Mheshimiwa MCHENGERWA Amethamini Uwepo wa Wananchi wa Mwanza kwa kuhudhuria kwenye Matukio mbalimbali ya kiserikali na kusema Hiyo inaashiria mapenzi mazuri ya wananchi kwa Serikali yao.

Vile vile Amewasihi Wananchi Pamoja na Wadau wa Maendeleo kuwaunga Mkono Viongozi wao katika utekelezaji wa Mirada ya Maendeleo Kama hii.

Aidha Amewaweka Wazi Wananchi kuwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN Yuko tayali na anaendelea vyema kupitisha fedha nyingi kwa ajili ya kuendeleza Maendeleo ya miradi mbalimbali Mkoani Mwanza.

Mheshimiwa Waziri ametumia fursa hii pia kuwakumbusha wananchi wote kujitokeza katika uandikishaji wa daftari la makazi unaotarajia kufikia ukomo tarehe 20 Oktoba, 2024 ili kuweza kushiriki uchaguzi wa Mwenyeviti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji unaotarajia kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024.

2-Mkataba wa Ujenzi wa Soko la Kirumba na barab

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.