• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Tiba ya Maji Nyamagana yapatikana,Mhe Aweso

Posted on: July 26th, 2019


Naibu waziri wa Maji na Uwamagiliaji Mhe. Jumaa Aweso akiwa na mwenyeji wake Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo la Nyamagana amebanisha hayo, Kata ya Igoma akihutubia wananchi  katika mkutano wa hadhara.h


Mhe. Aweso amesema, wizara yake imeandaa mradi mpya wa waji utakaowezesha ujenzi wa Chanzo Kipya cha Maji Butimba chenye uwezo wakuhudumia takribani wakazi 400,000 ili kuondoa kabisa uhaba wa maji wilayani humo kwa takribani miaka 20 ijayo. Kadharika amewasihi wananchi wa Nyamagana waendelee kuunga mkono jitihada kubwa za serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli imejidhatiti kutatua changamoto ya uhaba wa maji na kuoneshabkwa vitendo dhamira ya dhati kumtua Ndoo mwanamke  kichwami.


Wakati huo huo Mkurugenzi wa  MWAUWASA *Mamlaka ya Maji safi na Taka na Usafi wa mazingira Mkoani Mwanza*  Mhandishi. Antony Sanga, amewahakikishia wananchi wa Nyamagana na viungia vyake hususani maeneo ya pembezoni kuwa ipo miradi mitano mikubwa inatekelezwa hivi sasa yenye lengo la kukabiliana na changamoto ya uhaba wa maji ikiwemo mradi unaogharimu Tsh. 17.89 BIL na  mkandarasi yupo kazini kupitia kampuni ya kichina *CCECC* China Civil Engineering Constration Corporation, Mradi utakao kamilika ifikapo mwaka 2020 ili kutoa huduma kata ya Igoma

na ukanda wa Kishiri, Luchelele, Lwanimah, Buhongwa, Nyegezi pamoja na wilaya Magu eneo la Kisesa Magu, Ilemela pamoja na eneo la Usagara wilayani Misungwi.


Naye Mbunge wa Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula amewaambia wananchi wa Nyamagana takribani miaka 30 kilijengwa  chanzo kimoja cha Maji cha Capripont  kuhudumia watu 108,000 na kwasasa kina hudumia wilaya mbili Nyamagana na Ilemela ambapo kwa wakazi wa Nyamagana pekee hakitoshi. Lakini ndani ya uongozi wake ameweka historia mpya itakaoweka Msingi imara kwa utatuzi wa maji miaka 20 ijayo. Vile vile Mhe. Mabula amewahakikishia wana Nyamagana kuwatumikia kwa dhati kuhakikisha ahadi zote zilizotolewa kwenye Ilani ya Uchaguzi zinatekelezeka ikiwemo upatikanaji wa maji safi na salama ya uhakika.

Mkutano huo wa hadhara umehudhuriwa nadiwani mwenyeji Mhe. Musa Magabe, Mhe.mudogo



Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.