• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

MKUU WA WILAYA NA WADAU WA MAZINGIRA KUING'ARISHA MYAMAGANA

Posted on: September 29th, 2022


Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Amina Nassoro Makilagi  amefanya kikao na wadau  wa Mazingira  katika ukumbi wa Sokoine Butimba wilayani Nyamagana Jijini Mwanza, leo tarehe 29/9/2022.


Katika kikao hicho chenye kauli mbiu " Tunza Mazingira ,ng'arisha Nyamagana"  Mhe. Makilagi ameeleza umuhimu wa kuyatunza mazingira na kuyaweka katika hali ya usafi  na kwamba ukitunza mazingira , yatakutunza.   "Nimewaiteni ninyi wadau wa mazingira ili kwa pamoja tuifanye Mwanza kuwa ya kijani na yenye kuvutia kwa kupanda miti na maua  sehemu za milimani, kando kando  ya barabara, kando ya ziwa,   kwenye  makazi ya watu  na sehemu za bustani zilizo kufa tuzifufuwe na kubuni maeneo mengine ambayo pia yatapendezesha mji wetu." Amesema Mhe. Amina Makilagi.


Akifafanua zaidi Mkuu wa wilaya ya Nyamagana  amesema kamati maalumu  ya mazingira imeundwa ili kuhakikisha  elimu inatolewa zaidi kwa wananchi kuhusu mazingira na hasa kuhamasisha zaidi juu ya kampeini ya  upandaji miti  ikiwemo miti ya matunda na kuitunza.


Aidha amesema " Ili zoezi hili likamilike na kufanikiwa zinahitajika jumla Tsh. Milioni 120 ambazo zitapatikana toka kwa wadau mbalimbali wa mazingira. kila mtaa utapewa miti 600 ya miparachichi na kila mwenyekiti ahakikishe inapandea na kutunzwa katika eneo lake.


Sambamba na hayo Mhe. Makilagi amewataka wenyeviti wa mitaa, watendaji, maafisa maendeleo ya jamii, maafisa ustawi wa jamii na wadau wote wa mazingira kuwa vinara wa kampeini hii kwa kusisitiza usafi, upandaji miti, na utunzaji miti na maua kila mtu katika eneo lake.


Akikazia jambo hilo, amewataka mawakala wote wa usafi kuwa makini na suala la usafi hasa maeneo ya masoko na katika kaya za wananchi bila kuacha uchafu   kwenye kaya za watu.  


Naye  Bwana  Hamisi wakala wa huduma xa misitu Nyamagana, ambaye ni mdau mkubwa wa misitu ameeleza umuhimu wa kutunza miti  na ameahidi kutoa ushirikiano mkubwa kwa kuchangia kutoa miti hasa ya kupanda maeneo ya barabarani aina ya miashoki.


Mhe. Amina Makilagi amesisitiza suala la ushirikiano kaitika kufanikisha suala la usafi na utunzaji mazingira  na kuifanya Mwanza kuwa ya kuvutia  si kwa wanamwanza tu, bali kwa Watanzania na wageni kwa ujumla.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.