• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Halmashauri ya Jiji la Mwanza yapongezwa

Posted on: June 26th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kuendelea kupata Hati safi kwa miaka mitano mfululizo kutoka Ofisi ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali. 

Mhe. Mtanda ametoa pongezi hizo Leo wakati wa kikao Maalum cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza na wakuu wa Idara na Vitengo chenye dhima ya kupitia mapendekezo ya (CAG) na namna yalivyoshughulikiwa. Katika hatua nyingine Mhe. Mtanda amelitaka Baraza la Madiwani kuendelea kusimamia shughuli na miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Jiji la Mwanza kwani kupata Hati safi ni hatua Moja na kuendelea kuilinda ni hatua nyingine na kwamba wasitetereke katika kusimamia majukumu yao.

Aidha amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Wakili Kiomoni Kiburwa Kibamba Kisagala  kuendelea kusimamia msimamo wake na kuhakikisha anakusanya mapato kwa maendeleo ya Halmashauri na Mkoa kwa ujumla na kumtaka kutoyumbishwa hata kama atakuwa anagusa maslahi ya mtu. “Nakupongeza Mkurugenzi Kibamba kwa ‘Tone’ uliyokuja nayo hakikisha unasimamia maslahi ya Umma na ikiwezakana na huo Mkeka wa watu waliokabidhiwa Hati za viwanja bila kulipia niletee  na mimi nianze nao bila kujali ni nani na ana cheo gani’ amesema Mtanda.

Ameendela kusititiza umoja na mshikamano kwa Wakuu wa Idara na wafanyakazi wa chini kuwa kitu kimoja Ili kutembea kwenye lugha Moja na kuhakikisha kuwa watumishi wote wa Umma mnawaza kuwatumika wananchi na wala si vinginevyo.

Kwa upande wake Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Constantine Sima ame ahidi kuendelea kufanya kazi kama timu na kuhakikisha wananchi wanapata Maendeleo.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.