Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza anawatangazia matokeo ya usaili wa kuandika ambao umefanyika leo tarehe 6 Januari 2024 katika shule ya Sekondari Nganza . waliochaguliwa wanatakiwa kufika katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza tarehe 7 Januari 2024 saa 3:30 Asubuhi wakiwa na vyeti vyao halisi na kitambulisho kwa ajili ya usaili wa mahojiano. Bofya kupata matokeo hayo.
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.