MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA ANAWATANGAZIA MATOKEO YA USAILI WA MAHOJIANO AMBAO ULIFANYIKA TAREHE 07 JANUARI 2024. WALIOPATA AJIRA WANATAKIWA KUFIKA OFISI ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA TAREHE 09 JANUARI 2024 SAA 2:00 ASUBUHI WAKIWA NA VYETI VYAO HALISI NA KITAMBULISHO KWA AJILI YA TARATIBU ZA AJIRA. TAFADHALI BOFYA KUITWA KAZINI MEO RMA PS DRIVER.pdf KUPATA ORODHA YA MAJINA
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.