• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Pikipiki 18 zakabidhiwa kwa maafisa elimu kata wa halmashauri ya Jiji la Mwanza

Posted on: September 10th, 2018

Mkuu wa Mkoa  wa Mwanza  Mhe.John mongella  amekabidhi pikipiki 18 zenye thamani ya takribani Tsh 54,000,000 kwa maafisa  Elimu  wa  kata waliomo  Katika Halmashauri  ya Jiji la Mwanza 

Akizungumza kwenye hafla hiyo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amewataka Maafisa kuzitumia na kuzitunza vyema kwa lengo lilokusudiwa kwa ajili ya kuleta tija na ufanisi katika sekta ya Elimu.

Aidha Mhe.Mongella amesisitiza kuwa serikali ya awamu ya Tano imejikita kuimarisha sekta ya Elimu, hivyo kila Mwalimu ana wajibu wa msingi wa kuiwezesha sekta hii izidi kusonga mbele kwa kila mwalimu kutimiza wajibu wake “Halmashauri zote 8 za Mkoa wa Mwanza zimepata Pikipiki hizi kwa ajili ya maafisa Elimu Kata hivyo ni imani yangu kuwa vyombo hivi vya usafiri vitaongeza tija na ufanisi katika utendaji wenu wa kazi” alisema Mhe.Mongella.

Akitoa salaam zake Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza Mhe.James Bwire  amesema wadau wote Jijini Mwanza wanawajibu wa kumuunga mkono Mhe.Dkt John pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ya kuwaletea wananchi maendeleo “Hizi Pikipiki ni sehemu ndogo tu ya kazi inayofanywa na Mhe.Rais,Hivyo ni vyema maafisa elimu kuzitumia pikipiki kwa kazi zilizokusudiwa na si vinginevyo” alisema Mhe Bwire.

Akizungumza katika hafla hiyo,Kaimu mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Philipo Kajura Mukama  amesema ili kuimarisha  usimamizi wa Elimu katika shule zetu  Serikali imetoa Pikipiki hizi kwa ajili ya maafisa Elimu  wa Kata. Hivyo amewataka maafisa elimu kuzingatia taratibu walizopewa kwa kila mtumiaji wa Pikipiki hizo kuhakikisha anakuwa na leseni inayomruhusu kutumia chombo cha moto.

Hata hivyo Ndugu Mukama amewatahadharisha maafisa elimu kutotumia pikipiki hizo kwa ajili ya kubebea mizigo na Abiria.

Pikipiki hizo zimetolewa na OR-TAMISEMI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali  wa elimu  kupitia programu ya EQUIT na LANES zenye thamani ya Tsh milioni 54

Matangazo ya Kawaida

  • Tangazo la nafasi za Kazi za Tabibu Daraja la II(Clinical officer II) na Mteknolojia wa Maabara May 10, 2018
  • Tangazo nafasi ya Kazi ya Tabibu daraja la II na Muuguzi Msaidizi May 10, 2018
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA WOTE WA JIJI LA MWANZA September 18, 2018
  • WATUMISHI WAFUATAO WAFIKE OFISI NAMBA 7 KWA AJILI YA ZOEZI LA UHAKIKI-NIDA May 03, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mkuu wa wilaya akagua Miradi

    February 11, 2019
  • Jiji la Mwanza lafaidika na vifaa vya uokoaji kutoka SUKOS

    November 27, 2018
  • Naibu Meya wa Jiji la Mwanza Mhe.Bhiku Kotecha awapongeza wanafunzi wa shule ya Msingi Nyamagana baada ya Matokeo

    November 02, 2018
  • Mkuu waMkoa wa mwanza ataka wote waliohusika kwenye udanganyifu wa Mitihani kuchukuliwa hatua mara Moja

    October 06, 2018
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya wageni

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.