Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Bi Mary Tesha Onesmo akikabidhi msaada wa chakula kwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Nyegezi kwa ajili ya waanga wa mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwezi februari .
Mheshimiwa Mbunge wa Nyamagana Bw.Stanslaus Mabula (wa kwanza kulia),Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la mwanza na Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Mkuyuni wakikabidhi Msaada wa Mabati kwa waanga wa Mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwezi februari 2017
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba Kiburwa (Katikati) Bwana Najji zuli (Kulia) Mheshimiwa Mbunge wa Nyamagana Bwana Stanslaus Mabula na Mkuu wa Idara ya Ardhi Hosiana Kusiga (kushoto) kwenye Picha ya pamoja baada ya kupokea msaada wa Bandari 15 za Bati kutoka Mwanza Huduma
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.