Ujenzi wa Madarasa ya Shule za Msingi katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza ukiendelea ili kukidhi haja ya ongezeko la wanafunzi wanaoanza darasa la kwanza 2016/2017.
Katika picha ni Darasa lililojengwa kwa nguvu ya Wananchi wa kata ya Luchelele Jijini Mwanza