Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Ndg. Sima Costantine Sima, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mh. Stanslaus Mabula na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Ndg. Aron Kagurumjuli wamehudhuria hafla ya utiaji saini wa mkataba wa uboreshaji wa miji ya Tanzania(TACTIC) kwenye ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar-es-salaam leo tarehe 23/09/2023.
Mradi huu wa uboreshaji wa Miji ya Tanzania unatekelezwa na ofisi ya Rais-TAMISEMI kupitia wakala wake wa barabara za vijijini na mijini (TARURA) unatarajia kugharimu jumla ya dola za Kimarekani Milioni 410.
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.