• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

MCHENGERWA AWATAKA MAAFISA HABARI KUWA WABUNIFU

Posted on: May 23rd, 2025

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe Mohamed O. Mchengerwa(Mb) Mei 23, 2025 amefungua Kikao Kazi cha Maafisa Habari wa Mikoa, Halmashauri na Taasisi za Ofisi ya Rais TAMISEMI katika Ukumbi wa Mikutano DodomaJiji ulipo Mji wa Serikali Mtumba.

Katika Kikao Kazi hicho  Mhe Mchengerwa  amewataka Maafisa Habari  Nchini kuwa wabunifu katika maeneo yao ya Kazi na kuhakikisha taarifa zote za shughuli zote zinazofanywa na Serikali zinawafikia wananchi kwa wakati.

”Ninyi Maafisa Habari mnayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kuwa wananchi wanapata haki yao ya msingi ya kupata taarifa sahihi na kwa wakati.” Amesema Mchengerwa.

Aidha Mhe Mchengerwa amewaelekeza Maafisa Habari kuhakikisha wanafuatilia taarifa za Miradi ya Maendeleo ili kujua gharama za mradi/miradi na utekelezaji wake na kuongeza kuwa kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Ofisi ya Rais TAMISEMI imepitishiwa bajeti ya Shilingi 11,782,984,202,000.00 ambazo zinakwenda kutekeleza miradi kwenye Taasisi, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Pamoja na hayo Mhe Mchengerwa amewataka Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha Maafisa Habari wanashiriki kikamilifu katika ziara zote za Viongozi pamoja na Timu za Tathimini na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo kwa lengo la kuwawezesha kuwa na uelewa wa kazi zinazofanywa na Mikoa na Halmashauri ili waweze kuzitangaza kwani Maafisa hao ni sehemu timu yao.

Kikao hicho kinaendelea leo ambapo Maafisa Habari wote wa Mikoa na Halmashauri kote Nchini  wamekutana  kuendelea kubadilishana uzoefu namna bora ya kuzitangaza shughuli mbalimbali zinazofanywa na Serikali katika maeneo yao ya Kazi.

Matangazo ya Kawaida

  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • UPANGISHAJI WA MAENEO MBALIMBALI YA BIASHARA SOKO KUU May 29, 2025
  • TANGAZO LA MAPENDEKEZO YA SHERIA NDOGO ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA July 10, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HANANG' WAJIFUNZA MBINU ZA KUONGEZA MAPATO KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KUPITIA STENDI KUU YA MABASI NYEGEZI

    June 10, 2025
  • DC AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA MIRADI

    June 02, 2025
  • MHE. MAKILAGI AONGOZA ZOEZI LA USAFI BUHONGWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI YA MAZINGIRA

    May 31, 2025
  • "SEKTA YA ELIMU HAITAWEZA KUSONGA MBELE KWA MCHANGO WA KUNDI MOJA " , MMHE. MAKILAGI

    May 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.