• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA KIDIJITALI (e-OFFICE) YATOLEWA KWA WATUMISHI WA JIJI LA MWANZA.

Posted on: October 1st, 2025

Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza wameshiriki mafunzo ya matumizi ya mfumo wa kidijitali wa utunzaji na uendeshaji wa kumbukumbu na nyaraka za Serikali (e-Office), yaliyofanyika leo Oktoba 1, 2025 katika Ukumbi Mkubwa wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo watumishi katika matumizi sahihi ya mfumo wa e-Office kama sehemu ya utekelezaji wa sera na miongozo ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu mageuzi ya TEHAMA katika utendaji kazi wa taasisi za umma.

Akitoa mafunzo hayo, Bw. Ally A. Ally, Afisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais – Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Serikali, amewahimiza watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuutumia kikamilifu mfumo wa e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku, akisisitiza kuwa Serikali imeendelea kuboresha mifumo ya kidijitali kwa lengo la kuongeza ufanisi, uwajibikaji na uwazi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

Bw. Ally amesema kuwa matumizi ya mfumo wa e-Office ni sehemu ya mabadiliko makubwa ya kiutendaji yanayoendana na wakati wa sasa, ambapo Serikali inalenga kuachana na matumizi makubwa ya nyaraka za karatasi na badala yake kutumia mifumo ya kisasa inayorahisisha uhifadhi, ufuatiliaji na upatikanaji wa taarifa kwa haraka na kwa usalama zaidi.

Ameeleza kuwa lengo kuu la mfumo wa e-Office ni kurahisisha utendaji kazi, kuboresha mawasiliano ya kikazi, na kuimarisha usalama wa nyaraka za Serikali, sambamba na kuhakikisha kila mtumishi anatekeleza majukumu yake kwa wakati, kwa ufanisi na kwa kuzingatia taratibu na sheria zilizopo.

Aidha, amefafanua kuwa mfumo wa e-Office humtaka kila mtumishi kuwajibika moja kwa moja katika majukumu aliyopewa, kwa kuwa kila hatua ya utekelezaji wa kazi hurekodiwa ndani ya mfumo, hivyo kusaidia katika ufuatiliaji, tathmini ya utendaji kazi na uwajibikaji wa watumishi.

Kwa upande wao, watumishi walioshiriki mafunzo hayo wameonesha kuridhishwa na mafunzo yaliyotolewa, wakibainisha kuwa yamewasaidia kuongeza uelewa kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Office na umuhimu wake katika kuboresha utendaji kazi wa kila siku ndani ya Halmashauri.

Halmashauri ya Jiji la Mwanza itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Rais – Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Serikali katika kuhakikisha mifumo ya kidijitali inatumika ipasavyo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuimarisha utawala bora, kuongeza ufanisi wa taasisi za umma na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA UCHAGUZI October 19, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA SEMINA JIMBO LA NYAMAGANA October 21, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 29, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 09, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC MTANDA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE MPYA INAYOJENGWA KWA MFUMO WA GHOROFA KASOTA – MHANDU

    January 29, 2026
  • MKUU WA MKOA MWANZA AMEFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI

    February 02, 2026
  • RC MTANDA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE MPYA INAYOJENGWA KWA MFUMO WA GHOROFA KASOTA -MHANDU.

    January 29, 2026
  • WASTAAFU WATAKIWA KUTUMIA KIINUA MGONGO KWA MATUMIZI SAHIHI.

    January 29, 2026
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.