Posted on: August 11th, 2019
Salamu za Pole, Halmashauri ya Jiji la Mwanza inaungana na watanzania wote kuomboleza msiba wa wenzetu uliotokea Morogoro kwa ajali ya moto tarehe 10/08/2019.
Mungu azilaze Roho za marehemu mahala ...
Posted on: August 10th, 2019
Afisa mwandikishaji wa Jimbo la Nyamagana Kiomoni Kiburwa Kibamba amefungua mafunzo kwa Maafisa wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura ( BVR kit operators) na waandishi wasaid...
Posted on: August 6th, 2019
Naibu waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe.Mussa Sima amefanya ziara ya kikazi Jijini Mwanza kwa kulitembelea Dampo la kisasa lilopo Kata ya Buhongwa.
Akikagua ujenzi wa D...