Posted on: April 8th, 2019
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imepongezwa na ujumbe kutoka wizara ya Ujenzi mawasiliano na uchukuzi kwa namna wanavyotoa ushirikiano kwa wizara husika katika utekelezaji wa mradi wa anwani za makazi.
...
Posted on: March 25th, 2019
Kamati ya siasa mkoa wa Mwanza yafanya ziara na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza yenye thamani ya jumla ya TSHs 17,568,356,560/=
Ikikagua m...
Posted on: February 11th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh. Dr. P.Nyimbi ametembelea miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza ikiwa ni maandalizi ya Kuupokea Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasi...