Posted on: August 10th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe.Dkt Philis Nyambi amesema miradi itakayotembelewa na Mwenge wa Uhuru 2018, inajumuisha Ujenzi wa Zahanati ya Isebanda, Soko la Igogo,Milioni 200 mikopo ya wan...
Posted on: July 11th, 2018
Mheshimiwa Waziri wa Afya Jinsia na watoto Ummy Mwalimu amezindua mradi wa Kupunguza vifo vya mama na mtoto ujulikanao kama “ Impact” Jijini Mwanza .Mradi huo umelenga kutekelezwa kwenye wilaya zote N...
Posted on: June 20th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mheshimiwa Marry Tesha Onesmo amefanya kikao na wadau wa elimu tarehe 18Juni 2018 kwa lengo la kuboresha hali ya elimu katika wilaya yake.
Akiongea na wadau hao, Mkuu wa...