• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

WANANCHI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Posted on: November 19th, 2024

. 

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe, Amina Makilagi amewahimiza wananchi wa Kata ya Mahina kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la upigaji kura na kuwachagua viongozi watakaowaongoza.

Makilagi ametoa wito huo Jana Novemba 18,2024 wakati akiendelea na ziara ya kata kwa Kata na kuongeza kuwa  ni haki ya Kila mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea kushiriki zoezi la uchaguzi utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Vile vile Mhe, Makilagi amewasisitiza wananchi kushiriki kampeni za wagombea wa vyama vyote 19 vya siasa  zitakazoanza tarehe 20-26 Novemba 2024  ili kusikiliza sera za Kila mgombea na kuchagua kiongozi bora. 

Aidha amekemea kampeni zisizo za staha kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wakati wa kunadi sera zao badala yake wafuate kanuni, taratibu na sheria ili kuhakikisha Uchaguzi unafanyika kwa amani na utulivu.

Katika hatua nyingine Makilagi alipata   nafasi ya kuwaeleza wananchi juhudi mbalimbali za kuondoa changamoto kwa wananchi zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dr. Samia Suluhu Hassan ambapo amezitaja baadhi ya juhudi kuwa ni uboreshaji wa sekta ya Elimu, Afya, Miradi ya maji pamoja na muindombinu ya usafirishaji.

Naye Bw. Edward Ryoba Kisunte mkazi wa Mahina amempongeza Mhe, Mkuu wa wilaya kwa juhudi alizonazo  za kiutendaji za kuhakikisha anasimamia Miradi yote ya maendeleo kupitia serikali ya awamu ya sita ampapo kwa Wilaya ya Nyamagana miradi mingi imetekelezwa na matunda yake yanaonekana.

Mwisho amewashukuru wananchi wote kwa kujitoa  na kushiriki mkutano huo na kuwasisitiza wananchi wote waliojiandikisha Katika daftari la makazi washiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.