• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

WALIMU WAZALENDO WAJENGA MABWENI

Posted on: January 7th, 2025

Ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza na Watalaam kutoka Kada mbalimbali iliyoanza Januari 06,2025 kwaajili ya kukagua Miradi ya Maendeleo ambapo ameshuhudia na kutoa  pongezi kwa Uongozi wa Shule ya Sekondari Capri-point iliyopo  kata ya Butimba kwa ujenzi wa mabweni mawili ya Wasichana.

Pongezi hizo zimetolewa leo Januari 07,2025 na Wakili. Kiomoni Kibamba Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza huku akikiri kuwa Walimu hao wamefanya jambo kubwa na la kizalendo kwa maendeleo ya wilaya ya Nyamagana na Taifa kwa Ujumla.

Vilevile Uongozi wa Shule hiyo kwa kutambua umuhimu wa miundombinu wezeshi hasa kwa watoto wa kike, Walimu wa Shule ya Sekondari Capri-point waliamua kuchanga kiasi Cha Sh.36,000,000 kutoka kwenye mishahara yao na kufanikiwa kujenga na kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwemo bweni litakalo tumiwa na Wasichana, choo, bwalo la chakula na jiko.

Naye Mwl.Benedicto Thomas ambaye ni mkuu wa Shule hiyo ameueleza Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuwa "Mabweni 2 yaliyojengwa yanauwezo wa kubeba idadi ya Wanafunzi 80 ambapo  kila bweni 1 litabeba Wanafunzi 40 huku kila chumba kikiwa na vitanda 20"suala litakalo pelekea kuongeza ufaulu katika shule hiyo.

Aidha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza ameahidi kutoa kiasi Cha Sh.20,000,000 kwa ajiili ya ukamilishaji wa  bwalo la chakula  ambalo lilisimama  kutokana na upungufu wa fedha. 

Mbali na kukagua mradi huo wa bweni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza amekagua miradi mingine ya mpango mkakati ikiwemo miradi ya Afya, Shule na Miundombinu ya Barabara huku akisisitiza wasimamizi  kuendana na kasi ya ujenzi ili miradi ikamilike kwa wakati.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA RATIBA YA KUINGIA KWA WAPANGAJI WA MAENEO MBALIMBALI YA SOKO KUU. June 29, 2025
  • TANGAZO LA MAPENDEKEZO YA SHERIA NDOGO ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA July 10, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA (MCHUJO) KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - MWANZA JIJI April 29, 2023
  • KUITWA KAZINI NAFASI YA MEO III, MWANDISHI MWENDESHA OFISI II, RMA II na DEREVA II January 08, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KWA KUSHIRIKIANA NA RAILWAY CHILDREN AFRICA YAPANGA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA WATOTO WA MTAANI

    June 26, 2025
  • HANANG' WAJIFUNZA MBINU ZA KUONGEZA MAPATO KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KUPITIA STENDI KUU YA MABASI NYEGEZI

    June 10, 2025
  • DC AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA MIRADI

    June 02, 2025
  • MHE. MAKILAGI AONGOZA ZOEZI LA USAFI BUHONGWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI YA MAZINGIRA

    May 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.