• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Pikipiki 18 zakabidhiwa kwa maafisa elimu kata wa halmashauri ya Jiji la Mwanza

Posted on: September 10th, 2018

Mkuu wa Mkoa  wa Mwanza  Mhe.John mongella  amekabidhi pikipiki 18 zenye thamani ya takribani Tsh 54,000,000 kwa maafisa  Elimu  wa  kata waliomo  Katika Halmashauri  ya Jiji la Mwanza 

Akizungumza kwenye hafla hiyo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amewataka Maafisa kuzitumia na kuzitunza vyema kwa lengo lilokusudiwa kwa ajili ya kuleta tija na ufanisi katika sekta ya Elimu.

Aidha Mhe.Mongella amesisitiza kuwa serikali ya awamu ya Tano imejikita kuimarisha sekta ya Elimu, hivyo kila Mwalimu ana wajibu wa msingi wa kuiwezesha sekta hii izidi kusonga mbele kwa kila mwalimu kutimiza wajibu wake “Halmashauri zote 8 za Mkoa wa Mwanza zimepata Pikipiki hizi kwa ajili ya maafisa Elimu Kata hivyo ni imani yangu kuwa vyombo hivi vya usafiri vitaongeza tija na ufanisi katika utendaji wenu wa kazi” alisema Mhe.Mongella.

Akitoa salaam zake Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza Mhe.James Bwire  amesema wadau wote Jijini Mwanza wanawajibu wa kumuunga mkono Mhe.Dkt John pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ya kuwaletea wananchi maendeleo “Hizi Pikipiki ni sehemu ndogo tu ya kazi inayofanywa na Mhe.Rais,Hivyo ni vyema maafisa elimu kuzitumia pikipiki kwa kazi zilizokusudiwa na si vinginevyo” alisema Mhe Bwire.

Akizungumza katika hafla hiyo,Kaimu mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Philipo Kajura Mukama  amesema ili kuimarisha  usimamizi wa Elimu katika shule zetu  Serikali imetoa Pikipiki hizi kwa ajili ya maafisa Elimu  wa Kata. Hivyo amewataka maafisa elimu kuzingatia taratibu walizopewa kwa kila mtumiaji wa Pikipiki hizo kuhakikisha anakuwa na leseni inayomruhusu kutumia chombo cha moto.

Hata hivyo Ndugu Mukama amewatahadharisha maafisa elimu kutotumia pikipiki hizo kwa ajili ya kubebea mizigo na Abiria.

Pikipiki hizo zimetolewa na OR-TAMISEMI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali  wa elimu  kupitia programu ya EQUIT na LANES zenye thamani ya Tsh milioni 54

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.