• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Mkuu waMkoa wa mwanza ataka wote waliohusika kwenye udanganyifu wa Mitihani kuchukuliwa hatua mara Moja

Posted on: October 6th, 2018

Mkuu waMkoa wa mwanza ataka wote waliohusika kwenye udanganyifu wa Mitihani kuchukuliwa hatua

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe.John VK Mongella ameyasema hayo leo kwenye  Kikao kazi elekezi  alichokiitisha kwenye Ukumbi Mkubwa wa Jiji la Mwanza leo. Kikao kazi hicho kilijumuisha  Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa,Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Nyamagana, Wakuu wa Idara na Vitengo vya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule na Walimu wakuu wa Shule za Msingi.

Mhe.Mongella  amesema  wamiliki wa Shule,Wakuu wa  Shule na Baadhi ya walimu  ndiyo wahusika wakuu wa kuiba mitihani wakiwa na lengo la kufurahisha  wazazi wengi ili waaminike na kusajili watoto wengi  katika shule hizo.

Mhe.Mongella amewataka wamiliki wa shule wenye tabia ya kuiba mitihani waache kwa kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria  ikiwemo kuvuliwa nyadhifa zao na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.

Naye Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Dkt.Phillis Nyimbi alisema waliokamatwa kwa kuiba mitihani inaonekana walianza muda mrefu kwa kuwa za mwizi 40 ndio maana wamekamatwa.

“Tumesikitishwa sana wilaya yetu kutiwa doa la wizi wa mitihani na baadhi ya watu wachache wasio waadilifu licha ya wilaya yetu kujitahidi kufanya mambo ya kuleta maendeleo” alisema Dkt.Nyimbi

Hata hivyo Mhe.Mongella amewataka Polisi na TAKUKURU,kuwakamata wahusika wote wakati wakisubiria hatua zingine za kisheria kufuata.


Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.