• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Mkuu wa wilaya ya Nyamagana azindua Kamati ya Uhishaji anuani za Makazi Jijini mwanza

Posted on: March 4th, 2018

Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo ndugu Marry Tesha Onesmo ameipongoza Ofisi ya Waziri Mkuu,na Ofisi ya Rais Tamisemi kwa Kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano kuanzisha zoezi la Uhishaji anuani za Makazi kwa wananchi

Ndugu Marry Tesha ana imani kubwa na Kikosi kazi kilichoundwa na Halmashauri katika kutekeleza zoezi hili kuwa kikosi kazi kitafanya kazi kwa uadilifu ,Umakini na kwa kuzingatia taratibu sheria na kanuni za kazi.

“Ni Imani kuwa zoezi hili likikamilika litaupendezesha Mji wetu wa Mwanza na pia litarahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii kama vile suala la ulinzi na usalama,huduma za posta,Tanesco, Zima moto n.k” amesema Mheshimiwa Tesha.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mwenyekiti wa kamati ya Kitaifa ya anuani za Makazi NdgMathius Mkoya  amesema zoezi hili lilimekwisha anza kwa baadhi ya Majiji na Manispaa hapa nchini na zimefanya vizuri sana .

“Wananchi wamekuwa na Mwitikio mkubwa sana kupata anwani za makazi,zoezi hili limefanya vizuri Dodoma,Arusha na Dar es salaam, ni imani yangu kuwa Mwanza pia mtafanya vizuri’ Amesema ndugu Nkonda.

Aidha  Mathius  amesema hitaji hili kwa sasa limekuwa ni hitaji la shirika la posta duniani, watu wengi wamekuwa hawatambuliki wanakoishi lakini kwa sasa kupitia zoezi hili kila nyumba na mtaa itapewa namba  kwa ajili ya utambulisho

Ndugu Mathius amesema kwa sasa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imeshaandaa Anuani za Makazi za Mikoa mpaka   Kata zote nchini kwa kupewa tarakimu

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MHE. MAKILAGI AONGOZA ZOEZI LA USAFI BUHONGWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI YA MAZINGIRA

    May 31, 2025
  • "SEKTA YA ELIMU HAITAWEZA KUSONGA MBELE KWA MCHANGO WA KUNDI MOJA " , MMHE. MAKILAGI

    May 30, 2025
  • MCHENGERWA AWATAKA MAAFISA HABARI KUWA WABUNIFU

    May 23, 2025
  • DKT. DUGANGE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 25 WA LVRLAC, AHIMIZA UONGOZI BORA NA ULINZI WA RASILIMALI ZA ZIWA VICTORIA

    May 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.