• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Mkuu wa wilaya ya Nyamagana apokea mifuko 127 ya saruji kutoka NBC

Posted on: May 28th, 2024

Mkuu wa Wilaya Mhe. Amina Makilagi amewapongeza Benki ya Biashara NBC Tawi la Mwanza kwa kujitoa kuchangia Ujenzi wa miuondombinu ya elimu kwenye Wilaya ya Nyamagana, Mkoani Mwanza.

Mhe. Makilagi ametoa pongezi hizo Leo alipokuwa akipokea Mifuko ya Saruji 127 kutoka Benki ya NBC, ikiwa ni mwendelezo wake wa kutoa misaada ya ujenzi wa Vyumba vya madarasa Ili kufikia azima ya Wilaya ya Nyamagana ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 100 Kila Mwaka.

Mhe. Makilagi amesema Wilaya ya Nyamagana inamapungufu makubwa ya vyumba vya madarasa na hii ni kuutokana  na Wilaya hiyo kupokea watu wengi zaidi na kupelekea watoto kuwa wengi kuliko miuondombinu halisi.


“ Ndiyo maana nikaja na kampeni ya uchimbaji wa Misingi kwa nguvu za wananchi na wadau wa wamaendeleo na hadi sasa Vyumba zaidi ya 150 vimejengwa huku Shule sita zikiwa zimekamilika kwa asilmia 100,” amesema Makilagi.


“Niwahakikishe NBC kila mchango wenu utafika sehemu husika na nitawaomba, niwapitishe kwenye miradi ambayo mlichangia na Sasa wanafunzi wanasoma kama Ulaya mfano mdogo ni shule ya Msingi Samia pale Igoma, nguvu za wananchi NBC  na Mhe. Rais Samia alipoona, akatoa milioni 240 na kumalizia majengo yote, “ Amesema Mhe .Makilagi .


Aidha Mhe. Makilagi amewaomba wananchi wa Nyamagana kuwaunga mkono NBC kwa kufungua akaunti zao kwani Benki hiyo si ya Vigogo kama ilivyotajwa hapo awali, bali ni ya wananchi na inafedha za Serikali na imekuwa mstari wa mbele kurudisha sehemu ndogo ya faida kwenye jamii.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.