• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Mkuu wa wilaya ya Nyamagana apiga marufuku "Zero" wilayani kwake

Posted on: February 27th, 2018


Mkuu wa Wilaya ya Nyamgana Ndugu Marry Tesha Onesmo amepiga marufuku wanafunzi kufeli mitihani ya Kidato cha Pili na Cha Nne katika shule zake.

Ndg Marry Tesha Onesmo ameyasema hayo alipokuwa akifanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua maendeleo ya kitaaluma ya Shule za Sekondari zilizomo katika wilaya ya Nyamgana .

Licha ya Mkuu wa wilaya kuendelea kutoa pongezi kwa shule za sekondari za wilaya ya Nyamagana kufanya vizuri katika Mitihani ya Kidato cha pili na Kidato cha Nne mwaka 2017 na Kuufanya Mkoa wa Mwanza kuwa watano Kitaifa na Wilaya ya Nyamagana kuwa ya Kwanza Kimkoa.

“Niwapongeze kwa kuendelea kufanya vizuri katika mitihani ya kitaifa  na kubakia ndani ya 10 bora kwa kila mwaka licha ya changamoto kadha wa kadha zinazowakabili, na kwa sasa serikali ya awamu ya Tano imeamua kuyatatua”

Ndugu Marry Tesha Onesmo ameendelea kusisitiza kuwa lengo kubwa la serikali ni kuhakikisha wanaboresha elimu na kuzifanya shule za umma kuwa na uwezo wa kushindana na shule za watu binafsi na kuwanufaisha watanzania kwa watoto wao kupata elimu bila malipo.

Suala la nidhamu na utoro wa wanafunzi mashuleni limesisitizwa na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana kwa kuwataka wakuu wa shule kuhakikisha watoro wote waliochelewa kwa muda wa mwezi mmoja majina yao kupelekwa kwa maafisa elimu kata na Maafisa hao kuyawasilisha ngazi husika.

Aidha Mkuu wa wilaya amesisitiza Maafisa Elimu Kata kuhakikisha Wanafunzi wote waliofaulu kujiunga na kidato cha Kwanza  wanafuatiliwa na kuhakikisha wanadahiliwa kwenye shule husika na kuhudhuria mafunzo na ambao wamejiunga na shule binafsi ni vyema pia ikafahamika ili kuzuia utoro.

Mkuu wawilaya amesema shule ziendelee na ukarabati wa madawati yaliyoaribika ili kuendelea kupunguza changamoto ya upungufu wa madawati

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.