• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa na mpango wa BOOST na SEQUIP kukaguliwa.

Posted on: October 30th, 2023

Kamati ya Kudumu ya Bunge OR-TAMISEMI imefanya ziara ya kukagua miradi inayotekelezwa na mpango wa BOOST na SEQUIP mkoa wa Mwanza tarehe 28 oktoba,2023 miradi iliyokaguliwa ni pamoja na mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi Ng’wang’halanga iliyoko Buhongwa wilayani Nyamagana.

Akifanya majumuisho katika shule hiyo mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Justin Nyamoga(MB) amepongeza namna ujenzi ulivyotekelezwa kwa viwango na ubora. Mheshimiwa Nyamoga ameagiza pia halmashauri za mkoa wa Mwanza kuhakikisha wanafanya tathmini ya upungufu wa fedha kwa miradi ambayo haitakamilika kwa upungufu huo na kasha kuwasiliana na wizara ili waongezewe fedha ya kukamilisha mradi kabla ya shule kufunguliwa Januari 2024.Aidha ameagiza wizara yenye dhamana kuhakikisha inawekeza Zaidi kwenye kuboresha vifaa vya kufundishia na kujifunzia ili kutimiza lengo la serikali la kuboresha sekta ya elimu.


Naye Mheshimiwa Deo Ndijembi(MB) kwa niaba ya Naibu waziri wa OR – TAMISEMI amesema kuwa lengo la serikali ni kuhakikisha miradi ya elimu inatekelezeka ili kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani pamoja na umbali mrefu wanaotembea kufikia shule zilipo.kadhalika mheshimiwa Ndijembi ameahidi kuwa serikali ya awamu ya sita itaendelea kuleta fedha ili kutekeleza miradi hii ikiwemo pia miradi ya afya,maji na miundo mbinu ya bara bara.

Nao wajumbe wa kamati hiyo ya Bunge wakati wa majumuisho yao wamepongeza namna nzuri ambavyo shule ya msingi  Ng’wang’halanga imepangiliwa na kuishauri serikali kupanga maeneo na kuyatunza kwa ajili ya ujenzi wa shule nyingine baadaye kwa kuwa idadi ya watu inazidi kuongezeka siku hadi siku sambamba na hayo viongozi wa mkoa wa Mwanza kupitia Mheshimiwa Amina Makilagi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana ambaye pia amemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Mwanza amepokea salamu za pongezi zilizotolewa na kamati  na kuahidi kusimamia maagizo yote yaliyotolewa.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MHE. MAKILAGI AONGOZA ZOEZI LA USAFI BUHONGWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI YA MAZINGIRA

    May 31, 2025
  • "SEKTA YA ELIMU HAITAWEZA KUSONGA MBELE KWA MCHANGO WA KUNDI MOJA " , MMHE. MAKILAGI

    May 30, 2025
  • MCHENGERWA AWATAKA MAAFISA HABARI KUWA WABUNIFU

    May 23, 2025
  • DKT. DUGANGE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 25 WA LVRLAC, AHIMIZA UONGOZI BORA NA ULINZI WA RASILIMALI ZA ZIWA VICTORIA

    May 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.