• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

MBUNGE WA NYAMAGA AMETEKELEZA AHADI YAKE YA KUKABIDHI MADAWATI KATA YA PAMBA

Posted on: July 10th, 2024

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge wa Nyamagana amefanya ziara leo Julai 9, 2024 katika Kata ya Pamba  kutekeleza ahadi ya kukabidhi  madawati katika shule za Sekondari.

Mbunge wa Nyamagana, ametembelea shule mbili kati ya nne zilizopo kata ya Pamba ambazo ni Mlimani Secondary na Bugarika Sekondari ambapo shule hizo zimepewa madawati 50 kila moja ili kupunguza changamoto ya wanafunzi kukaa chini na kuwatengenezea mazingira rafiki ya kujisomea.

Vilevile Mhe.Stanslaus Mabula Mbunge wa Nyamagana ameeleza kuwa takribani milioni 30 zimetengwa kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025 kwa ajili ya manunuzi ya madawati, Viti, na meza nakuongeza kuwa zitatumika pia kuboresha miundombinu ikiwa ni kujenga na kuboresha ya zamani ili iendane na ya kisasa.

Naye,Mkuu wa shule ya Sekondari Bugarika Ndg.Zacharia Miyeye amempongeza Mbunge na Serikali kwa ujumla kwa kuwapatia madawati kwani wana jumla ya wanafunzi 1331 na upungufu wa madawati 540 nakusema kuwa hayo madawati 50 yaliyoletwa yatasaidia kupunguza chamgamoto iliyopo nakuongeza kuwa mipira waliyopatiwa itawawezesha  wanafunzi kukuza vipaji vyao.

Mbunge huyo wa Nyamagana amehitimisha kwa kuahidi kuwa serikali itaendelea kuboresha sekta ya Elimu kwa kutumia fedha za mfuko wa Jimbo, Fedha kutoka Serikali kuu na za mapato ya ndani ya Halmashauri  ili kuweka mazingira rafki kwa wanafunzi kujisomea.



Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MHE. MAKILAGI AONGOZA ZOEZI LA USAFI BUHONGWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI YA MAZINGIRA

    May 31, 2025
  • "SEKTA YA ELIMU HAITAWEZA KUSONGA MBELE KWA MCHANGO WA KUNDI MOJA " , MMHE. MAKILAGI

    May 30, 2025
  • MCHENGERWA AWATAKA MAAFISA HABARI KUWA WABUNIFU

    May 23, 2025
  • DKT. DUGANGE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 25 WA LVRLAC, AHIMIZA UONGOZI BORA NA ULINZI WA RASILIMALI ZA ZIWA VICTORIA

    May 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.