• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

KERO ZA WANANCHI KUSIKILIZWA IGOMA

Posted on: July 16th, 2024

 Mkuu wa mkoa wa Mwanza , Mhe. Said Mtanda amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi July 16, 2024 katika eneo la Igoma kati kwa lengo la kuzitatua na kufanyia utafiti zile zinazohitaji utafiti ili nazo zipatiwe majibu.

Mhe. Mtanda amewaeleza Wananchi kuwa changamoto zote watakazozitoa zitatatuliwa kwa kuwa ameambatana na wataalamu na lile litakalokuwa likimuhusu atalitolea ufafanuzi kwani anayomamlaka ya kufanya hivyo kama Mkuu wa mkoa Mwenye dhamana.

Akiendelea na zoezi la kukiliza kero za Wananchi Mhe. Mtanda amemuagiza RPC  Mtafungwa kumchukulia hatua za kinidhamu Afande witness wa kituo cha Ndofe Igoma kwa kosa la kumuweka Ndani  Ndg. Gradness Nestory pasipo na hatia na kuhusu hasara ya mpunga kuharibika, mhusika mwenyewe afungue kesi ya madai Mahakamani ili haki ya madai yake ipatiwe ufumbuzi.

Aidha Mhe. Mtanda amempongeza  Mhe. Mbunge wa Nyamagana na Diwani wa Igoma  kwa kueleza kwa uwazi jinsi miradi ya maendeleo inavyotekelezwa Mkoani Mwanza huku akieleza kwa kina juu ya utendaji kazi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa awamu ya sita wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania; wao wakiwa wasimamizi wa miradi hiyo, na Igoma ikiwa ni moja ya wanufaika.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said  Mtanda amehitimisha kwa kuwaagiza baadhi ya wakazi waliyofika na kutoa kero zao kufika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa siku ya Juma nne kwa mazungumzo zaidi ili kutafuta suluhisho zaidi kwa kero zao.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA RATIBA YA KUINGIA KWA WAPANGAJI WA MAENEO MBALIMBALI YA SOKO KUU. June 29, 2025
  • TANGAZO LA MAPENDEKEZO YA SHERIA NDOGO ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA July 10, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA (MCHUJO) KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - MWANZA JIJI April 29, 2023
  • KUITWA KAZINI NAFASI YA MEO III, MWANDISHI MWENDESHA OFISI II, RMA II na DEREVA II January 08, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KWA KUSHIRIKIANA NA RAILWAY CHILDREN AFRICA YAPANGA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA WATOTO WA MTAANI

    June 26, 2025
  • HANANG' WAJIFUNZA MBINU ZA KUONGEZA MAPATO KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KUPITIA STENDI KUU YA MABASI NYEGEZI

    June 10, 2025
  • DC AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA MIRADI

    June 02, 2025
  • MHE. MAKILAGI AONGOZA ZOEZI LA USAFI BUHONGWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI YA MAZINGIRA

    May 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.