• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Halmashauri ya Jiji la Mwanza yapongezwa kwa usimamizi mzuri wa fedha za serikali

Posted on: February 21st, 2018

Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, Majaliwa  ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kwa usimamizi mzuri wa Fedha za serikali.


Mheshimiwa Kassim Majaliwa ameyasema hayo jana alipofanya ziara ya kikazi Katika Wilaya ya Nyamagana.

Waziri Mkuu yupo  Mkoani Mwanza kwa siku saba kwa ajili ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali sambamba na hilo waziri Mkuu yupo kuelezea musimamo na muelekeo wa serikali ya awamu ya tano kwa watumishi wa umma.

“ Katika kupitia makabrasha yangu na vyanzo vyangu vya taarifa nimejiridhisha  Nyamagana mpo salama” amesema  Mheshimiwa Majaliwa alipofanya kikao cha pamoja na watumishi wa umma ukumbi wa BOT. Mwanza

Aidha Waziri Mkuu  ameendelea kusisitiza nidhamu, uwajibikaji na uadilifu kwa watumishi wa umma kwa kusema kuwa serikali ya awamu hii haipo tayari kuunda Tume kwa mtumishi yeyote ambaye wamejiridhisha  sio muadilifu wala muaminifu kwa fedha za serikali.

Mheshimiwa  Majaliwa amewahaidi watumishi wote wa umma kuwa na subira kwani serikali inatambua changamoto mbalimbali zinazowakabili watumishi wa umma hususani suala la maslahi ambapo kwa sasa serikali imeunda tume ya mishahara na Motisha kwa watumishi ambayo inashughulika na maslahi ya mishahara kwa kila kada.

Pamoja na Hilo, Mheshimiwa  Majaliwa amewataka waheshimiwa Madiwani pamoja watendaji kuwa utengemano wa pamoja katika kubaini vyanzo vya mapato  na kuvisimamia ili  kuweza kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo kwa wananchi.

Akiwasilisha taarifa ya Wilaya ya Nyamgana, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana  amesema  Halmashauri yake  imekusanya kiasi cha zaidi ya Bilioni Tano mpaka mwezi Desemba 2017, na kufikia asilimia 56 ya makusanyo yote kwa mwaka 2017/18, wametoa  mikopo ya vijana na akina mama zaidi ya milioni 160 kwa mwaka 2017/18, zaidi ya asilimia 82 ya wakazi mjini wanapata maji, wanaviwanda vikubwa zaidi ya 74 , wamerasimisha viwanja zaidi ya 19000

Mheshiwa Majaliwa amehitimisha ziara yake kwa kufungua Zahanati ya bulale- Buhongwa yenye thamani zaidi ya Milioni 200,pamoja na ugawaji wa kadi za matibabu kwa wazee wa wilaya ya Nyamagana

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.