• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA YAKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

Posted on: January 6th, 2025

Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Wakili, Kiomoni K. Kibamba  Leo January 6,2025  amefanya ziara na wataalamu  kutoka  idara mbalimbali kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo tofauti tofauti ndani wilaya ya Nyamagana.

Katika ziara hiyo Mkurugunzi  Kibamba amekagua Shamba lililopo kata ya luchelele,mtaa wa Kisoko lenye  ukubwa wa zaidi ya hekari Tano ambalo limetengwa kwaajili ya ujenzi wa shule ya sekondari.

Aidha Mkurugunzi Kibamba ameagiza ujenzi huo kukamilishwa ndani ya siku 90 kwani tayari milioni 584 zimekwisha tolewa kwa ajili ya ujenzi huku akisisitiza wananchi wote ambao Bado hawajalipwa fidia walipwe Ili kupisha ujenzi huo uanze mara moja.

Hata hivyo Diwani wa kata ya Luchelele Mhe,Vincent Lusana Tegge amemuhakikishia Mkurugunzi kuwa Wananchi wa eneo lake ni wasikivu na pindi tu watakapo lipwa fidia zao watapisha ujenzi huo haraka iwezekanavyo.

Naye Mwl, Amani Alon ambaye ni msimamizi wa mradi wa  Shule ya Msingi  Shadi amemueleza Mkurugunzi na Wataalamu kuwa  ujenzi wa Shule hiyo wenye  jumla ya madarasa 9, 7kwaajili ya elimu ya Msingi na madarasa 2 ya awali, matundu ya vyoo 16 pamoja na jengo la utawala vilivyogharimu takribani milioni 351,500,000 vimefikia katika hatua ya umaliziaji.

Vilevile Mkurugunzi na wataalamu wamefanikiwa kukagua Ujenzi wa madarasa mapya yaliyopo katika shule zilizopo kata ya Mkolani  ikiwemo Shule ya Sekondari Nyabulogoya, Shule ya Msingi Nyahingi ambapo amekagua vyumba 7 pamoja na Shule ya Msingi Kasese  yenye vyumba vya Madarasa vipya 9 na madawati 405.

Mkurugenzi Kibamba amehitimisha ziara hiyo kwa kuwataka wasimamizi wa miradi hiyo kufanya kazi usiku na mchana na kusaidia kukamilika  kwa wakati uliopangwa Ili kupunguza msongamano wa Wanafunzi madarasa.

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO LA RATIBA YA KUINGIA KWA WAPANGAJI WA MAENEO MBALIMBALI YA SOKO KUU. June 29, 2025
  • TANGAZO LA MAPENDEKEZO YA SHERIA NDOGO ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA July 10, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA (MCHUJO) KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - MWANZA JIJI April 29, 2023
  • KUITWA KAZINI NAFASI YA MEO III, MWANDISHI MWENDESHA OFISI II, RMA II na DEREVA II January 08, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KWA KUSHIRIKIANA NA RAILWAY CHILDREN AFRICA YAPANGA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA WATOTO WA MTAANI

    June 26, 2025
  • HANANG' WAJIFUNZA MBINU ZA KUONGEZA MAPATO KUTOKA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KUPITIA STENDI KUU YA MABASI NYEGEZI

    June 10, 2025
  • DC AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA MIRADI

    June 02, 2025
  • MHE. MAKILAGI AONGOZA ZOEZI LA USAFI BUHONGWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI YA MAZINGIRA

    May 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Ziara
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.