• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Baraza la madiwani la halmashauri ya jiji la mwanza lakaa kwa ajili ya kupokea taarifa za utekelezaji shuguli za maendeleo katika kata kwa robo ya pili 2017/2018

Posted on: February 14th, 2018


Baraza la Halmashauri la Jiji la Mwanza limekaa kwa ajili ya kupokea taarifa za utekelezaji shughuli za maendeleo  katika Kata zote za Halmashauri ya jiji la Mwanza .

Akizungumza  wakati wa kufunga Baraza hilo Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza  ameipongeza Idara ya ardhi kwa kufanya vizuri katika zoezi la urasimishaji makazi ambapo viwanja 19000 vimepimwa

Aidha Mstahiki meya amempongeza Mkurugenzi wa Jiji la mwanza kutoa zaidi ya Milioni Mia moja kwa vikundi vya wanawake na vijana.

Mwisho Mstahiki meya amesema kuwa Halmashauri yake ina upungufu mkubwa wa madawati pamoja na jitihada kubwa zinazofanywa na mkurugenzi kutengeneza madawati, hivyo amemuomba Mkuu wa wilaya kuwahamasisha wadau  mbali mbali wa maendeleo kuchangia

Akitoa Salamu zake Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, amewataka watumishi pamoja na wananchi kujitokeza kumpokea na kumsikiliza waziri Mkuu ambaye atakuwepo Nyamagana tarehe 20/02/2018 eneo la Bulale kata ya Buhongwa.

Aidha Mkuu wa wilaya amewataka waheshimiwa madiwani na wenyeviti wa Mitaa kuwahamasisha wananchi kuchangia masuala ya maendeleo

Akitoa salamu zake Naibu Meya wa Jiji la Mwanza , Mheshimiwa Bhiku Kotecha aameipongeza timu ya alliance sports club kupanda ligi kuu ya Tanzania  bara 2018/2019 . mheshimiwa kotecha amehaidi kama Baraza la Madiwani la Halmashauri litatoa Ushirikiano wa kutosha kwa timu ya alliance

Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.