• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Kupima Ardhi

UPIMAJI WA ARDHI JIJI LA MWANZA

Imeandaliwa na Ofisi ya Mkurugenzi Jiji la Arusha Tarehe 17/02/2017

UTANGULIZI:


Upimaji na Ramani ni kitengo katika Idara ya Mipango Miji chenye jukumu la kupima ardhi pamoja na utayarishaji wa ramani (Survey plan) mbalimbali za mjini na vijijini. Ramani hizo ni msingi wa kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi katika sekta na kwa matumizi mbalimbali.


UPIMAJI (Cadastral Surveys):


Upimaji ni uwekaji wa kumbukumbu za kiwanja, mahali kilipo na ukubwa wake. Kumbukumbu hizi zinahifadhiwa ,kimchoro kwenye ramani (survey plan), kimahesabu (Co-ordinates) na kuweka alama za mipaka (beacons) kwenye kiwanja husika na kuidhinishwa,kusajiliwa na Wizara ya Ardhi nyumba na makazi.


KAZI ZA MPIMAJI (Surveyor):


•Kazi za mpima ardhi zinajumuisha; kuweka mipaka ya viwanja vipya.

•Kurudishia mipaka ya viwanja ambavyo vimeshapimwa na mipaka yake(beacions) zimepotea

•Kuchora ramani za Kiwanja/Viwanja.


TARATIBU ZA UPIMAJI


Ardhi ni eneo la juu la uso wa dunia. Ardhi hii ni mali ya Serikali na msimamizi wake Mkuu ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ili mwananchi aweze kupewa hati Miliki ya kiwanja (ardhi), anatakiwa awe na muhtasari wa Kamati ya Maendeleo ya Kata unaodhibitisha uhalali wa ardhi hiyo.


Maombi ya kupimiwa ardhi yanatumwa kwa Afisa Ardhi wa Jiji la Mwanza. Afisa Ardhi atafanya yafuatayo:-

•Kukagua eneo kuwa ni huru, halina mgogogro wa mipaka, halijawekwa rehani,

•Ardhi husika ina mchoro wa Mipango Miji ulioidhinishwa na Wizara ya Ardhi nyumba na makazi (Approved town Plan drawing)

•Ardhi husika haina upimaji uliokwisha fanyika kwa lengo la umilikishwaji ardhi.


Baada ya Afisa Ardhi kukamilisha ukaguzi wake, mpima wa Jiji atatoa maelekezo ya upimaji (Survey Instruction) kwa mpimaji yeyote atakayehusika na zoezi la upimaji.


Baada ya upimaji kukumilika, nyaraka zote huwakilishwa kwa Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani kukaguliwa, kuthibitishwa na kusajiliwa kama kumbukumbu rasmi ya mipaka husika


Ili mwananchi aweze kupewa hati miliki ardhi Jiji ya Arusha hana budi kuwa na kumbukumbu ya mipaka ya ardhi hiyo mahali ilipo na ukubwa wake. Pia anatakiwa awe na muhtasari wa Kamati ya Maendeleo ya Kata uliosaniwa na viongozi wahausika,kwa anayemiliki ardhi hiyo kimila au kwa aliyenunua ili kuthibitisha mmiliki wa ardhi hiyo kisheria.


Mwananchi huomba kupimiwa ardhi kwa lengo la kufanikisha umilikishwaji chini ya Sheria Sura Na. 390 (Sheria ya upimaji ardhi) na mchoro wa upimaji uliyoidhinishwa ndio uthibitisho rasmi wa mipaka ya ardhi iliyopimwa.


Faida za upimaji ni kama ifuatavyo:-

•Kuondoa tatizo la migogoro ya mipaka kwa kusuluhishwa kisheria.

•Kupata mikopo mbalimbali kwa kutumia raslimali ya ardhi iliyopimwa.

•Urasimishaji.

•Utambulisho wa mahali kiwanja kilipo.

•Kuongezeka dhamani ya kiwanja.

•Kupanga matumizi ya ardhi ili kuchangia maendeleo katika Jiji letu.




Matangazo ya Kawaida

  • TANGAZO KWA WAOMBAJI AMBAO HAWAJAWASILISHA TAARIFA ZAO KWA AJILI YA MNADA April 30, 2025
  • JITOKEZE KUJIANDIKISHA October 16, 2024
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA MAENEO YA BIASHARA KATIKA SOKO KUU December 14, 2024
  • TANGAZO LA KUPEWA NA KUINGIZWA KATIKA MFUMO WA TAUSI -UPANGISHAJI WA SOKO KUU MWANZA February 21, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAKILI KIBAMBA ASISITIZA NIDHAMU ENEO LA KAZI

    May 08, 2025
  • WAWEZESHAJI WATOA MBINU ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA KIINGEREZA KUONGEZA UFAULU NYAMAGANA

    May 05, 2025
  • WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KWA HAKI

    March 26, 2025
  • DC NYAMAGANA MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

    March 28, 2025
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • ESS(Watumishi Portal)
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0755741738

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.