• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Huduma ya Maji

Utunzaji wa maji safi na salama hutolewa hasa na Mamlaka ya Maj i Mwanza (MWAUWASA) ambayo sasa ni 92% kwa watu wote wanaoishi katikati Jiji na 67% kwa watu wanaoishi katika maeneo ya pembezoni.

Kwa sasa Jiji la Mwanza limekamilisha mradi mkubwa wa maji ambao unakadiriwa kuwaokoa watu 6,000. Hii itafikisha asilimia 73%. ya watu wanaopata maji Pia tuna mradi mpya wa maji katika eneo la Lwanhima ambalo baada ya kukamilika utagarimu Tsh 2,218,000,000.00 (WSDP)

Sekta ya maji ina lengo la a kufikisha huduma ya maji katika maeneo yote ya pembezoni mwa mji hususani katika maeneo ya Kata za Kishiri, Lwanhima na Luchelele pia kuhakikisha kuwa maeneo yote ya utoaji huduma za kijamii kama Zahanati, Hospitali ya Wilaya, Vituo vya Afya, Shule za Msingi na Shule za Sekondari zinapata huduma za Maji endelevu.

Mpaka sasa Idara imefikisha huduma ya maji katika maeneo ya Fumagila, Luchelele ziwani na Kilimo kishili kupitia Mfuko wa Maji vijijini na pia inaendelea na ujenzi wa mradi wa usambazaji maji katika kata ya Lwanhima.

Aidha, katika sekta hii inatoa elimu ya usimamizi wa miradi ya maji kwa vikundi vya watumiaji wa maji (COWSO) na wasimamizi wa magati ya maji pale mradi unapokamilika.

Hata hivyo huduma ya maji safi na salama kwa baadhi ya taasisi za serikali imekamilika, mpaka sasa shule za msingi zenye huduma ya maji ni 70, shule za sekondari zenye huduma ya maji ni 27, zahanati zenye huduma ya maji ni 12 na vituo vya afya vyenye huduma ya maji ni 2.

Huduma ya Maji safi na Salama katika maeneo ya pembezoni mwa mji imeongezeka kutoka asilimia 42 mwaka 2010 hadi kufikia asilimia 62 mwaka 2018 na tumefanikiwa kuongeza idadi ya vituo vya kuchotea maji kutoka 29 hadi 82 kwa maeneo ya Luchelele ziwani, Kishili kilimo na Fumagila kwa jumla ya miradi ya maji iliyokamilika.

Naomba kuwasilisha,

Eng Zubeda Saidi

K N Y. MKURUGENZI WA JIJI

Matangazo ya Kawaida

  • Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba awatakia Kheri watahaniwa wa Darasa la Saba wanaotarajia kuanza mitihani yao tarehe 11/09/2019 September 09, 2019
  • RATIBA YA ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA NYAMAGANA DKT.PHILLIS NYIMBI KWENYE KATA ZOTE November 20, 2019
  • Majina ya Wamiliki wa Ardhi ambao hawajachukua Hati miliki za viwanja vyao zilipo ofisi kuu za Halmashauri ya Jiji la Mwanza -Wanatakiwa kufika Idara ya Mipango miji March 26, 2018
  • TANZIA April 30, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • " Ni marufuku makundi ya Pikipiki kuchangisha michango isiyokuwa na tija kwa wanachama wake" Dkt .Phillis Nyimbi

    November 21, 2019
  • Kamati ya Fedha na uongozi ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza yafanya ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo uanofanywa na Halmashauri

    October 29, 2019
  • Kamati ya Ulinzi na usalama ya wilaya ya Nyamagana akakugua soko kuu la muda la Mbugani

    August 24, 2019
  • Salamu za Pole kutoka Halmashauri ya Jiji la Mwanza

    August 11, 2019
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Tovuti kuu ya Takwimu huria

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.