• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

YALIYOJILI WAKATI WA ZIARA YA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA JIJINI MBEYA

Posted on: December 23rd, 2019

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mwanza limefanya ziara ya mafunzo katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya yenye lengo la kubadilishana uzoefu wa utendaji kazi katika maeneo mbalimbali ambapo katika ziara hii iliyofanyika kuanzia tarehe 16 - 20 Desemba 2019 imetoa fursa kwa Halmashauri zote mbili kujifunza na kubadilishana uzoefu katika maeneo ya:-   

Uendeshaji na usimamizi dampo la kisasa, Uanzishwaji na uendeshaji wa shule za English Medium zilizo chini ya Halmashauri, Usimamizi na uendeshaji wa soko ya kisasa, Ukusanyaji na uendeshaji wa vyanzo vya mapato, uendeshaji wa Shughuli mbalimbali za uchaguzi na uendeshaji na uzimamizi wa Redio ya Halmashauri.

Akitoa neno la ukaribisho Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya ameushukuru uongozi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza kwa kuchagua kuitembelea  Halmashauri ya jiji la Mbeya bila kujali umbali na kuahidi kuendeleza ushirikiano baina ya Halmashauri hizo mbili ambapo kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya ya Mbeya alishukuru Zaidi kuwezesha kukutana na baadhi ya watumishi na Waheshimiwa aliofanya nao kazi akiwa Halmshauri ya jiji la Mwanza na kuwakaribisha Mbeya.

Kwa upande wake Kaimu mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza na Kaimu Mkururugenzi wa Halmashauri ya Jiji la mwanza wametoa shukrani kwa yote ikiwemo mapokezi mazuri   na kuwakaribisha wana Mbeya kama halmashauri kuja kuitembelea Halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Matangazo ya Kawaida

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - KUTWA December 18, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - BWENI December 18, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - SHULE ZA VIPAJI MAALUM December 18, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - UFUNDI December 18, 2020
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • "Hatua na muendelezo huu ni mzuri kwa ujenzi wa miradi hii ya Soko na Stendi " Mhe Mwanaidi Ali Khamis

    January 09, 2021
  • Mhe .Sima atoa masaa 24 nyumba kuvunjwa

    January 08, 2021
  • Mhe.Jaffo afurahishwa na usimamizi wa miradi Jijini Mwanza

    January 05, 2021
  • Lazima ifikapo tarehe 11, Januari wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waingie madarasani - Mhe.Mongella

    December 30, 2020
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Matokeo ya Kidato cha Sita
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.