• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

"Watanzania muunge mkono bidhaa zinazozalishwa Nyumbani" Mhe, Mavunde

Posted on: June 19th, 2020


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana Na Ajira Mh Anthony Mavunde ametoa rai kwa Watanzania kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa na Vijana wa Tanzania kwa kuwa soko  la bidhaa zao.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Jijini Mwanza alipotembelea Kiwanda cha Vijana cha "Soma bags"cha mabegi ya wanafunzi ambacho kimepewa mkopo wa Tsh 30,000,000kupitia Mfuko wa maendeleo ya Vijana

"Mkopo mlioupata mmeutumia vyema na kuongeza uzalishaji kwa kiwango kikubwa,ninyi mnatuma ujumbe muhimu sana kwa vijana wengi nchini kwamba Vijana wanaweza kufikia mafanikio kupitia mifuko hii ya uwezeshwaji ya Serikali.

Nitoe rai kwa Watanzania wote kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa na Watanzania hasa vijana,Shule zote za

msingi na Sekondari hapa Mwanza na mikoa ya Jirani mnaweza kuwa soko la ukakika wa mabegi yanayozalishwa hapa Kiwandani"Alisema Mavunde

Akitoa maelezo ya awali,muasisi wa Kiwanda cha Soma bags Ndg Innocent James,ameishukuru sana Serikali ya awamu ya Tano chini ya Mh Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa namna ambavyo imewawezesha na kupanua shughuli za uzalishaji kutoka mabegi 20 kwa siku mpaka mabegi 100 na kuongeza Ajira mpaka kufikia Vijana 21kutoka Vijana 8 wa awali.

Katika kuunga mkono jitihada za shughuli ya Kampuni hii ya Vijana,Halmashauri ya Jiji la Mwanza wameahidi kushughulikia na kuwapatia mkopo Vijana hawa  wa *Tsh 60,000,000 kwa ajili upanuzi wa shughuli za Kiwanda.

Matangazo ya Kawaida

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - KUTWA December 18, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - BWENI December 18, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - SHULE ZA VIPAJI MAALUM December 18, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - UFUNDI December 18, 2020
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • "Hatua na muendelezo huu ni mzuri kwa ujenzi wa miradi hii ya Soko na Stendi " Mhe Mwanaidi Ali Khamis

    January 09, 2021
  • Mhe .Sima atoa masaa 24 nyumba kuvunjwa

    January 08, 2021
  • Mhe.Jaffo afurahishwa na usimamizi wa miradi Jijini Mwanza

    January 05, 2021
  • Lazima ifikapo tarehe 11, Januari wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waingie madarasani - Mhe.Mongella

    December 30, 2020
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Matokeo ya Kidato cha Sita
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.