Halmashauri ya jiji la mwanza ya pokea ugeni wa wataalamu kutoka manispaa ya morogoro ,kwa ajili ya ziara ya mafunzo kuhusu udhibiti taka maji na taka ngumu.
Katika ziara hiyo ya mafunzo walipata pia fursa ya kutembelea miradi mbalimbali iliyohusisha mambo muhimu kama mfumo wa kuthibiti taka ngumu na taka maji,ushirikishwaji wa wadau katika kuthibiti taka ngumu,urejeshaji wa taka ngumu,na matumizi ya sheria
Katika ziara hiyo wageni walipata fursa ya kutembelea kata na kukutana na wanajamii wote katika kata walizotembelea ,pia walikutana na wadau wote wa usafi ,urejeshaji ,na upendezeshaji wa mji,soko ,dampo na mabwawa ya majitaka.
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.