• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza City Council
Mwanza City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Orodha ya Viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu wa Wilaya
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Uchumi, Mipango na Ufuatiliaji
      • Mazingira na Usafi
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA,Habari na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria na Usalama
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Usafi wa mazingira na uhifadhi wa taka ngumu
    • Leseni
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Maji
  • Baraza la Madiwani
    • Orodha ya madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
    • Ratiba ya vikao
    • Mihtasari ya vikao vya baraza
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • TASAF
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Waraka
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio Yajayo
    • Magazine

Kampuni ya ujenzi ya STC yakabidhi milioni tano na kuhaidi matofali 3000 shule ya Sekondari Sahwa

Posted on: April 3rd, 2020

Kampuni ya Ujenzi ya  STC kupitia Mkurugenzi wake Ndg. Allan Makame hivi leo imekabidhi Tsh. 5,000,000.00 fedha taslimu kwa Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Dkt. Philis Nyimbi pamoja na Ahadi ya Matofari 3,000 Kwaajili ya kuendeleza Ujenzi wa vyumba sita vya madarasa katika Shule ya Sekondari Sawah iliyopo Kata ya Lwanimah katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza  inayojengwa kwa nguvu za wananchi.

Akipokea msaada huo Dkt. Nyimbi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana amepongeza Kampuni hiyo kwa msaada huo na kuwataka wawekezaji wengine kuiga mfano huo.  Kadharika amepongeza ushiriki wa Mbunge na Diwani Kata ya Lwanimah pamoja na  wananchi katika kuweka nguvu UJenzi wa Madarasa Kumi shule ya Swah, ikiwa manane yamekwisha kamilika na sita yapo katika hatua ya Msingi.

Naye Mwakilishi wa Mhe. Stansalaus Mabula Mbunge Jimbo la Nyamagana, Bi. Florah Magabe amepongeza Kampuni ya Ujenzi ya STC kwa kutimiza matakwa ya sheria yauwekezaji kurejesha sehemu ya fedha katika Jamii waliyowekeza kwa vitendo ambao utakuwa chachu katika kupunguza uhaba wa vyumba vya madarasa  na kuwezesha kkukamilisha madarasa 10 ya shule hiyo.

Naye Bw. Allan akikabidhi fedha hiyo amesema anashukuru kwa Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe. Mabula kuwa mstari wa mbele kufuatilia kwa ukaribu utekelezaji wa Mradi wa UJenzi wa Tank Lwanimah na kuhaidi Maji kutoka wiki ijayo. Hivyo Kampuni yake imewiwa kutoa mchango ikiwa Ni sehemu ya kushiriki shughuli za kijamii Nyamagana  kutokana na kufanya kazi vizuri na uongozi wa Nyamagana.  

Hafla hiyo ya Makabidhiano hayo imefanyika katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana na kuhudhuriwa na Diwani na Mtendaji Kata ya Lwanimah, Uongozi wa CCM Kata, Afisa Elimu Kata, Katibu Tawala Wilaya pamoja na Katibu Tarafa Nyamagana.

Matangazo ya Kawaida

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - KUTWA December 18, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - BWENI December 18, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - SHULE ZA VIPAJI MAALUM December 18, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2021 - UFUNDI December 18, 2020
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • "Hatua na muendelezo huu ni mzuri kwa ujenzi wa miradi hii ya Soko na Stendi " Mhe Mwanaidi Ali Khamis

    January 09, 2021
  • Mhe .Sima atoa masaa 24 nyumba kuvunjwa

    January 08, 2021
  • Mhe.Jaffo afurahishwa na usimamizi wa miradi Jijini Mwanza

    January 05, 2021
  • Lazima ifikapo tarehe 11, Januari wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waingie madarasani - Mhe.Mongella

    December 30, 2020
  • Tazama Zote

Video

Kiapo cha wakuu wa wilaya wapya wa Mkoa wa Mwanza
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Mbalimbali
  • Kuhusu Sisi
  • Zabuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza
  • Vibali Kusafiri nje ya Nchi
  • Matokeo ya Kidato cha Sita
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya wageni

freevisitorcounters's Website

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Barabara ya Balewa

    Sanduku la Posta: 1333,Mwanza

    Simu: +255 28 250 1375

    Simu ya Kiganjani: 0768520195

    Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Eneo

Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.