TANZIA
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTUMISHI WA IDARA YA MIFUGO NA UVUVI NDUGU; MICHAEL FUNDO AMBAYE ALIFARIKI DUNIA SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 27/04/2018 NYUMBANI KWAKE MISUNGWI- MKOA WA MWANZA
NDUGU MICHAEL FUNDO ATAZIKWA SIKU YA JUMANNE YA TAREHE 01/05/2018
NYUMBANI KWAKE MISUNGWI
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE!
UTAWALA
Barabara ya Balewa
Sanduku la Posta: 1333,Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Simu ya Kiganjani: 0755741738
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Copyright ©2017 Mwanza City Council . All rights reserved.